Recent content by Rayd

  1. R

    JamiiForums Tanzania Majimbo ambayo UKAWA wameshinda Ubunge lakini Magufuli ameongoza kura za Rais

    elewa vixuri ndo lugha gani mkuu?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hili la CHADEMA kuajiri wageni kwenye uchaguzi sio jambo dogo

    asante mkuu. matumaini napata.
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuolewa na mwanajeshi

    achana na maneno ya watu weye. songa mbele. so unamaanisha ndoa zote zenye matatizo ni wanajeshi.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari kwa shilingi milioni 5 wakuu

    mh. hatujamsaidia kitu. natafuta Gari Toyota CAmi iwe kwenye hali nzuri. ofa yangu m.5
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanandoa: Kama haukwaruzani na mwenza wako ni hatari

    mmh!!! raha Sana... asante nimeongeza siku
  6. R

    JamiiForums Tanzania Huu unafiki wa Lowassa unatisha

    ha ha haaaa. umeiona hiyo mkuu! wanachanganikiwa kabla. he eee. wasubiri hilo jembe liingie ndo matako kulia mbwata
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    ni makosa yamama. mdada wa kazi si kazi yake. huyo mke hafai anatoaje suruali ya mumewe bila kuikagua. pengine mdada kachoka. bila shaka hata boxer anafua mdada. house girl hakufata nguo chumbani kwa boss wake. na kama alifata. uzembe wa mama
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri katika hili

    Uwe msukule Mara ngapi? washirikishe ndugu zako na hata viongozi wa dini. maaaaasikiiiiin poole
  9. R

    JamiiForums Tanzania Walimu ajira mpya waliokosa mshahara wa mwezi huu

    Hilo tatizo si kwa walimu tu. Imetokea hata lea ajira mpya kada nyingine
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna tabia ya kabila fulani?

    we kabila gani?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Upepo wapeperusha Kofia ya Papa Francis

    hivi kumbe mungu ndo yesu
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tutafika tu

    nimefurahi sana
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupi mume bora kati ya hawa wawili? Nahitaji washauri wazuri sana ili kunisaida kushauri

    mmmh asiongeze idadi ya baba kwa watoto. A anamfaaa. anataka ahudumiwe vipi na Mtoto anatoa ada? amhudumie Mara ngapi name elim kampatia, tiba kamtibia afya iko vizuri kwa sasa. huyo B anampa matunzo ya mwanzo tu. hatokaa amlipie mwanae ada. wanawake wengine bhana. unadanganywa na mapenzi ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yashindwa kulipa mishahara mwezi Mei

    sim bankng inahusika
  15. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yashindwa kulipa mishahara mwezi Mei

    usiwe na papala
Back
Top Bottom