Tatizo mnajua makabila machache sana nchini.
Nchi hii ina zaidi ya makabila 120 ila kutokana na UJINGA wetu, tunaishia kuchukua kabila moja au mawili kama makabila pekee ktk mkoa husika!. Mwishowe tunaposema kabila fulani wana tabia fulani tunajikuta tunazungumzia mkoa mzima wakati SIO SAHIHI!.
Chunga sana ktk kusema huyu ni kabila fulani!.
Waziii!¡-¡-¡-¡-