AL-USTADH
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 406
- 226
Habari za majukumu wadau.
Natumai mu-wazima kabisa, kama mada husika inavyosema hapo juu naomba mwenye kuwa na gari ambayo ipo kwenye hali nzuri walau niweze kununua.
Si mbaya kama itakuwa haijachoka wakuu itakuwa vyema zaidi. Kama itapatikana either Forester, IST, ama WISH au yoyote itakayokuwa kwenye hali nzuri walau ila isiwe rangi nyeupe wakuu.
Natanguliza shukran kwenu.
AHSANTENI.
=====================================================================================================================
Whatsapp no. for pictures.
0719572217
AL-USTADH.