Upepo wapeperusha Kofia ya Papa Francis

Upepo wapeperusha Kofia ya Papa Francis

download.jpg
 
A gust of wind blows away Pope Francis' skullcap in the Vatican City, Italy on May 20th.



Next image|
Previous image|
|
 
Kama hicho kibandiko kinampa shiida basi kwa nini wasimpe kofia ya Baraghashia ili awe naraha ya kumtumekia mungu yesu kwa Raha zake bila shiida
 
Nakuletea nukuu kutoka kitabu cha The Dark Side Of Christian History nayo inasema
around the spring equinox, became the Christian holiday of Easter. Christians took over a cave-temple dedicated to Mithra in Rome on the Vatican Hill, making it the seat of the Catholic Church. The Mithraic high priest's title, Pater Patrum, soon became the title for the bishop of Rome, Papa or Pope. The fathers of Christianity explained the remarkable similarities of Mithraism as the work of the devil, declaring the much older legends of Mithraism to be an insidious imitation of the one true faith..
Nukuu hiyo inatoka ukurasa wa 24.

Watu mnajitia ugwiji wa uchambuzi bila kujua NANI ALIYETOA TAFSIRI HIYO NA KWANN!!!
 
Hicho kitabu kingekuwa kimeandikwa na msabato, ningesema sawa. Kafuatilie kama unajua kusoma, kitabu nilichotoa hapo juu, na uache porojo. Wewe ulidhani ujinga wote uliofanywa enzi hizo za giza kuu zisingetunzwa? Ingawa kanisa lilijaribu kuchoma vitabu vingi, bado tulipata kubakiwa na vitabu vingi ambavyo leo vinatufunulia yaliyofichwa.

Kiliandikwa na nani?
 
Back
Top Bottom