Mkuu doctor bado hajaleta dawa wewe
umeanza kelele? subili dawa kwanza na
ha ha haaaa. umeiona hiyo mkuu! wanachanganikiwa kabla. he eee. wasubiri hilo jembe liingie ndo matako kulia mbwata
Mkuu doctor bado hajaleta dawa wewe
umeanza kelele? subili dawa kwanza na
hoja dhaifu kweli !
huogopi kumuita Lowasa mpinzani. !? Lowasa kapoteza muelekeo wa kisiasa na hata hajui anachokitaka sasa ni nini.
huogopi kumuita Lowasa mpinzani. !? Lowasa kapoteza muelekeo wa kisiasa na hata hajui anachokitaka sasa ni nini.
Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?
Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.
Kuchukua dola ni vita mkuuHaya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?
Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.