Recent content by Raxy

 1. R

  Mwenye kujua tatizo hili kwenye TV anisaidie

  speaker zina leta shida hiyo kwa zile Tv zenye visogo( yaan zinazotumia technologia ya cathode ray kutengeneza picha) lakin kwa tv za kisasa hizi za flat sumaku za speaker hazina effect mkuu, jarib kuchek other alternatives.
 2. R

  Kwa walio Dar es Salaam tu: Hili ndilo suluhisho la uhakika kukabiliana na gharama zilizopanda za internet

  mkuu ile kit ya starlink ina cost bei gan kwan! na vip kuhusu anga la bongo lipo support na starlink satellites? naona huku kwetu mambo taiti.
 3. R

  Nahitaji GSM/ 3g Signal booster

  hapo naona freq ni 1800mhz(downlink) ambayo kwa mitandao mingi hapa bongo 3G na baadhi 4G ndo inaweza kuwa supported na frequency band hii, na mashaka kwa upande wa 2G kama inaweza kuwa supported kwan 2G bongo mitandao mingi ina rushwa na frequency ya 900mhz! nadhan wajuzi zaidi wanaweza saidia...
 4. R

  Yupo wapi ROHO 7

  jamaa alikuwa njema sana! waite polisi nakupenda hip hop! hizi ngoma zitaishi kwenye music library yangu! Sent from my M2010J19CG using JamiiForums mobile app
 5. R

  Nahitaji GSM/ 3g Signal booster

  cheki AliExpress.com zinapatikana! ila quality ya boosted signal inategemea sana signal iliopo saiv,kama unaweza pata angalau bar mbili za mtandao saiv basi hicho kifaa kinaweza kukusaidia!
 6. R

  Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

  mkuu,nahitaj soundbar " sonos arc" bila subwoofer yake. vp mna bei gan asee!
 7. R

  Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

  hii mambo ni tamu hataree! fanya kumsogeza kenny Rogers karibu na Dolly Parton, utaskia " islands in the stream" utachomokaje sasa! duh,ila Dion bado mbabe tu!
 8. R

  Wazee wa Soft Rocks, strong feeling songs -- tukutane hapa

  Milli Vanilli - Girl I'm Gonna Miss You Roxette - It Must Have Been Love phil Collins - I Wish It Would Rain Down R kelly - If I Could Turn Back the Hands of Time Gosby - Everyday
 9. R

  Unapokuwa out of mood (down) wimbo gani huwa unapenda kusikiliza?

  I look to you - Whitney Houston
Top Bottom