Mwenye kujua tatizo hili kwenye TV anisaidie

shibela

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
363
1,000
Tv yangu inaweka rangi nyeusi kwa pembeni kama inavyooneka kwenye picha itakuwa na tatizo gani? Mwenye kujua naomba anisaidie

20210606_162642.jpg
 

shibela

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
363
1,000
Siyo card ingekua inachukua muda kuwaka. Ila ikiwaka inakua clear kila kitu? Nafikiri ni mkanda wa taa za LED labda zimeungua
Inawaka kama kawaida na kila kitu kinaonekana kama kawaida tatizo ni huo weusi kwa pembeni
 

orturoo

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
2,264
2,000
Hizo taa zinauzwa kwa mkanda. Mkanda mmoja ni 20K.

Ila nenda kwa fundi akijua kama ni taa au card atakuambia
Nakushauri usiweke TV yako karibu spika zenye sumaku kubwa jitahidi weka TV mbali na spika
 

Raxy

Member
Sep 9, 2015
11
45
Nakushauri usiweke TV yako karibu spika zenye sumaku kubwa jitahidi weka TV mbali na spika
speaker zina leta shida hiyo kwa zile Tv zenye visogo( yaan zinazotumia technologia ya cathode ray kutengeneza picha) lakin kwa tv za kisasa hizi za flat sumaku za speaker hazina effect mkuu,

jarib kuchek other alternatives.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom