Moja kwa moja kwenye mada!!
Mara nyingi najiuliza kwamba suala hili la mfumo wetu wa elimu kuzalisha mbumbumbu, Serikali hailioni imeshindikana kuubadilisha, au kuna manufaa gani inapata kwa mfumo huu.
Miaka 7 ya primary school tunafundishwa Mkwawa alikufa mwaka gani? Mara Kinjekitile Ngwale...
Kwa ulicho kieleza hapa mimi binafsi sijaona hao madogo walipo zingua.....kama kweli gazeti lake lina habari mbili zinahusu uchumi ulitaka andike hoja kumi azitoe wapi?
Hoja yake ni tuache soko liamue bei mkuu. Mimi naona ni jambo zuri, sio Yale mambo ya mtu mmoja kusimama nakusema maindi yatanunuliwa Kwa tsh 200 Kwa debe, then hoja ya mazao kutoka nje ya nchi ni hoja nyingine.
Vijana Tunadhani kuwa na fedha kunafanya upate real Love..Vijana wenye mtazamo huu nadhani bado hawana Fedha
Pesa ni muhimu katika mapenzi lakini lakini sidhani kama utakuwa na furaha kujua kabisa kwamba huyu mwanamke kanipendea Pesa, inakata stimu kabisa.
Hakuna kitu nachukia kama Demu kuniona Danga...nimekutongoza leo kesho eti kafiwa anataka nauli ya kwenda msibani. Hahahahahaha
Njaaa tupu alafu kinachouma zaidi unakuta hata kudanganya hajui
Kiukweli hili ni tatizo, Kuna mmoja nilitaka kufa kabisa kwa ile harufu hapo hapo ilinibidi niwahi kumeza AZUMA . Alafu dawa ya hizo infenction ni nafuu sana sasa sijui wenzetu wanapenda iyo harufu
Mimi nilivyo uona huu uzi nikasema labda mkuu anakuja kutoa suruhu ya kidini kutukanya kuhusu mabishano yetu kidini kumbe na yeye ni mtu wa mabishano yakidini hivyo ameamua kuleta ubishi tena watu tuanze kubishanaa. ,😂😂😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.