Watoto wa geti kali mko wapi siku hizi?

Watoto wa geti kali mko wapi siku hizi?

Ongeaa...Lalamikaa..Tukanaaa ila MWANAUME TAFUTA HELA UPATE MAPENZI either ya kweli au Uongoo tafuta HELAA otherwise piga nyetooo tuuu..!!
Umemaliza mkuu,uzi ufungwe
 
Ati mtoto wa geti kali ambae hana njaa ya pesa? Kwa maana nyingine unataka mwanamke kwao mboga saba afu wewe pesa huna una mapenzi tu?

Kwani akiwa sio wa geti kali na kwao wana maisha ya kawaida hawezi kuwa na mapenzi ya dhati?

Wadogo zangu ambao mko humu kwenu pesa haisumbuwi musiolewe na wanaume wenye maisha duni wana wivu kupindukia.

Shoga yangu sasa hivi ni marehemu kisa kuolewa na mwanaume njaa. Na kila mtu alimzuia ila alisema atapambana mme akae sawa.

Baada ya ndoa wivu wa kipumbavu ukaanza. kwao na shoga yangu magari yapo kibao so alikuwa akienda nyumbani kutembea muda wa kurudi kwa mme wake anapewa dereva ampeleke asipande daladala.

Deleva akimfikisha mme akaona walivyoletwa yesuuu anavimba maneno yanaanza oh unajidai kwenu kuna hela maneno kibao.

Kingine tangu amuoe hakuwahi kununua chakula humo ndani anasubili shoga aagize kwao vyakula. Na huyo mwanaume sio kwamba hakuwa na hela hata ya chakula, no alikuwa na kikazi so vipesa vidogo alikuwa navyo.
Shoga yangu alikuwa akipambana bila kujali kwao pesa ipo lakini yule mme hapana.

Hakuwahi mnunulia hata kitenge kisa eti kwao hela ipo? Kilichomkuta ndani ya muda mfupi ni mauti.

Mwanaume tafuta pesa zako wacha kuwaza kuoa wenye nazo wakati wewe una 1200.
Jamaa hapo juu amekuambia hela kwake sio tatizo, tatizo ni mapenzi ya kweli hapa tunazungumzia mapenzi ya kweli..huo mfano wa shoga yako upo tofauti na mada husika maana huyo mume/mpenzi wake alikua hana hela...jamaa yetu hapa hela sio tatizo...😂😂😂
 
Context izingatiwe

Nivilio kila Kona, wanaume wakiuliza yako wapi mapenzi tuliosimuliwa na Babu zetu. Waliotuhadithia kuwa mapenzi si pesa bali hisia za wawili waliopendana na kuamua kuishi bila kuathiliwa na Hali ya mtu kiuchumi, kijamii, na ata kielimu.

Waliotusimulia simulizi hizi wakifufuka na warudi kwenye ulimwengu wa Leo, si ajabu watajikuta chama watakachoweza kujiunga ni CHAPUTA tu kwani mapenzi imekua bidhaa aghali sana .

Almost girls wote wamekua ombaomba, wote wana njaa, wote hawana Kodi, wote hawana uwezo wa kuhudumia simu , wote hawana nauli kuudhulia makwao kipindi matatizo yanapotoke, wote wanahitaji kwenda salon, wote wanahitaji nguo na vifaa lukuki vya urembo. Bila pesa ukidate nao hutayafurahia mapenzi. Na hata ukijitutumua uwe na uhakika makasiriko hayatakuisha.

Mimi nauliza watoto wa geti kali ambao sifa yenu ilikua ni upendo wa dhati Leo mmeenda wapi???

wanawake wanaotokea familia bora wao walikua wakipenda ndo shughuli imeisha. Atafanya visa vyote ili kupambania penzi la roho. Kitu hiki kimekua hadimu kama kupata bikra uswahilini. Jamani watoto wa geti Kali mpo ?

Nauliza hivi coz ukifanya utalii wa ndani ya nchi hii utaona maendeleo ya vitu. Watu wanaishi nyumba Bora za kisasa , wanatembelea magari makali, wanasoma kwenye shule aghali toka kindergarten hadi elimu ya chuo. Cha kushangaza watoto wa geti Kali hawapo Tena mtaani Ili kuendeleza sifa Yao ya mapenzi ya dhati. Badala yake wote wamekua wadangaji na makuwadi.

Najua mtavamia Uzi huu na kusema acha kulialia tafuta pesa, but I stand with my point ....wako wapi wanawake wenye mapenzi ya kweli ?

Wengine tumejaliwa pesa ,ila tunatamani kuzitumia na wanawake wenye mapenzi ya kweli , Cha kushangaza tunaambulia wadangaji.

Tunahitaji mapenzi na sio utelezi na kumwaga. Ndio maana malaya hawezi ku replace mpenzi. Malaya wako kila mahala ila wanashindwa kutambua hitaji la binadamu ni mahusiano zaidi ya sex.

Mmetugeuza wanaume kuwa kama mateja wa sex. Daily tunafanya mambo mengi hatarishi Ili tupate pesa ya kutafuta mapenzi na badala yake tunaambulia mbunye tu. Mbususu sio mapenzi, mapenzi ni furaha, amani, utulivu, maelewano, mshikamano, urafiki, na mapenzi teletele.

Na kwa sababu mapenzi yamekosekana kilichopo sokoni ni sex tu. Nimasikitiko kuona tunaishi kwenye jamii ambayo wanawake hawana kingine to offer than SEX. This is too sad.

Shime shime watoto wa geti Kali mjitokeze muokoe jamii. Kwa mkutadha wa uzi huu mtoto wa geti kali ni yeyote mwenye mapenzi ya kweli na sio njaa ya PESA. Anaeweza kuthubutu kuingia kwenye mahusiano na ukapita mwezi hajatangaza njaa na shida zake bali kipindi chote hicho lugha yake iwe UPENDO
tafuta pesa kijana hata mwajuma ndala ndef ukimtunza anakuwa geti kali
 
Vijana Tunadhani kuwa na fedha kunafanya upate real Love..Vijana wenye mtazamo huu nadhani bado hawana Fedha

Pesa ni muhimu katika mapenzi lakini lakini sidhani kama utakuwa na furaha kujua kabisa kwamba huyu mwanamke kanipendea Pesa, inakata stimu kabisa.
 
Prof J
"hali ilivyo sasa sio kama mwaka arobaini na saba, mpaka vibibi vizee navyo vinafanya ukahaba"
 
ukiona demu anakupendea bundle/hela/vitu/kazi..... ndo hakutaki ivo.mapenzi ya kweli yapo mengi tu. ila jua na mikosi/.balaa/.gundu/ sugu/unalia udomo zege/ujinga wa kudumu/swaga mbovu/.ubaya wa sura yako vipo pia usisahau...utamu wooote huu wa kina dada bado unalialia??...tena siku hizi ndo balaa, wana hela hao.kazi nzuri.mawaziri.waenda Dubai.ulaya mwee! Zaidi kuliko me!....siku hizi me wanabembea kwa hela ya ke!!.....mikosi yako weye huko!hukoooo.tuachie sisi tubembeee nyau weye.
Hujui kuongea wewe....yaani siku za mwisho hizi. mademu ni bwerere....tena vidogoo chuchu saa sita vitamu ivo!! Heeee!...yaani hata madingi wa bungeni wanakupita kwa kuopoa vidosho??? ...nenda kaaguliwe kwenu kuna kitu ulifanya huko...
hahahahaha
 
Sio kwamba zamani wadangaji hawakuwepo walikuwepo ila sio kwa wingi, na sio kwamba siku hizi hawapo wenye wakishua mapenz, wapo ila wachache mnoo,
Mambo yamebadilika utandawazi nahisi umebadili upepo..
Zamani nahisi walikuwa wanaridhika vitu vichache vilivyokuwepo. Akiwa anaendesha chaser mayai ana nokia, kilimanjaro hotel n.k utamwambia nini.

Siku hizi kuna iphone, bmw x6 wanazijua, dubai wanaijua, wanaona vikapu vya kulishia twiga untegemea nini, wanatamani kuwa zaidi ya hapo walipo.
 
Ati mtoto wa geti kali ambae hana njaa ya pesa? Kwa maana nyingine unataka mwanamke kwao mboga saba afu wewe pesa huna una mapenzi tu?

Kwani akiwa sio wa geti kali na kwao wana maisha ya kawaida hawezi kuwa na mapenzi ya dhati?

Wadogo zangu ambao mko humu kwenu pesa haisumbuwi musiolewe na wanaume wenye maisha duni wana wivu kupindukia.

Shoga yangu sasa hivi ni marehemu kisa kuolewa na mwanaume njaa. Na kila mtu alimzuia ila alisema atapambana mme akae sawa.

Baada ya ndoa wivu wa kipumbavu ukaanza. kwao na shoga yangu magari yapo kibao so alikuwa akienda nyumbani kutembea muda wa kurudi kwa mme wake anapewa dereva ampeleke asipande daladala.

Deleva akimfikisha mme akaona walivyoletwa yesuuu anavimba maneno yanaanza oh unajidai kwenu kuna hela maneno kibao.

Kingine tangu amuoe hakuwahi kununua chakula humo ndani anasubili shoga aagize kwao vyakula. Na huyo mwanaume sio kwamba hakuwa na hela hata ya chakula, no alikuwa na kikazi so vipesa vidogo alikuwa navyo.
Shoga yangu alikuwa akipambana bila kujali kwao pesa ipo lakini yule mme hapana.

Hakuwahi mnunulia hata kitenge kisa eti kwao hela ipo? Kilichomkuta ndani ya muda mfupi ni mauti.

Mwanaume tafuta pesa zako wacha kuwaza kuoa wenye nazo wakati wewe una 1200.
Mwanaume asie na hela ni TATIZO.
 
Context izingatiwe

Nivilio kila Kona, wanaume wakiuliza yako wapi mapenzi tuliosimuliwa na Babu zetu. Waliotuhadithia kuwa mapenzi si pesa bali hisia za wawili waliopendana na kuamua kuishi bila kuathiliwa na Hali ya mtu kiuchumi, kijamii, na ata kielimu.

Waliotusimulia simulizi hizi wakifufuka na warudi kwenye ulimwengu wa Leo, si ajabu watajikuta chama watakachoweza kujiunga ni CHAPUTA tu kwani mapenzi imekua bidhaa aghali sana .

Almost girls wote wamekua ombaomba, wote wana njaa, wote hawana Kodi, wote hawana uwezo wa kuhudumia simu , wote hawana nauli kuudhulia makwao kipindi matatizo yanapotoke, wote wanahitaji kwenda salon, wote wanahitaji nguo na vifaa lukuki vya urembo. Bila pesa ukidate nao hutayafurahia mapenzi. Na hata ukijitutumua uwe na uhakika makasiriko hayatakuisha.

Mimi nauliza watoto wa geti kali ambao sifa yenu ilikua ni upendo wa dhati Leo mmeenda wapi???

wanawake wanaotokea familia bora wao walikua wakipenda ndo shughuli imeisha. Atafanya visa vyote ili kupambania penzi la roho. Kitu hiki kimekua hadimu kama kupata bikra uswahilini. Jamani watoto wa geti Kali mpo ?

Nauliza hivi coz ukifanya utalii wa ndani ya nchi hii utaona maendeleo ya vitu. Watu wanaishi nyumba Bora za kisasa , wanatembelea magari makali, wanasoma kwenye shule aghali toka kindergarten hadi elimu ya chuo. Cha kushangaza watoto wa geti Kali hawapo Tena mtaani Ili kuendeleza sifa Yao ya mapenzi ya dhati. Badala yake wote wamekua wadangaji na makuwadi.

Najua mtavamia Uzi huu na kusema acha kulialia tafuta pesa, but I stand with my point ....wako wapi wanawake wenye mapenzi ya kweli ?

Wengine tumejaliwa pesa ,ila tunatamani kuzitumia na wanawake wenye mapenzi ya kweli , Cha kushangaza tunaambulia wadangaji.

Tunahitaji mapenzi na sio utelezi na kumwaga. Ndio maana malaya hawezi ku replace mpenzi. Malaya wako kila mahala ila wanashindwa kutambua hitaji la binadamu ni mahusiano zaidi ya sex.

Mmetugeuza wanaume kuwa kama mateja wa sex. Daily tunafanya mambo mengi hatarishi Ili tupate pesa ya kutafuta mapenzi na badala yake tunaambulia mbunye tu. Mbususu sio mapenzi, mapenzi ni furaha, amani, utulivu, maelewano, mshikamano, urafiki, na mapenzi teletele.

Na kwa sababu mapenzi yamekosekana kilichopo sokoni ni sex tu. Nimasikitiko kuona tunaishi kwenye jamii ambayo wanawake hawana kingine to offer than SEX. This is too sad.

Shime shime watoto wa geti Kali mjitokeze muokoe jamii. Kwa mkutadha wa uzi huu mtoto wa geti kali ni yeyote mwenye mapenzi ya kweli na sio njaa ya PESA. Anaeweza kuthubutu kuingia kwenye mahusiano na ukapita mwezi hajatangaza njaa na shida zake bali kipindi chote hicho lugha yake iwe UPENDO
mageti yote yameboka
 
Ila siku hizi too much ,ukiomba namba tuuu picha linaanza "sina bundle .....",unamtumia 2000 utamsikia "mimi kwa siku na jiunga naa bundle la elfu 5........",sasa kama kwa siku unajiunga bundle la ekfu 5 why mpaka mda huo alishindwa kujiunga na hilo bundle au hata la buku.

Haya hujakaa vizuri hajala,mara na daiwa kodi, enheeeee simu yangu kioo kimvunjika, TV yangu ya Chogo nataka flat screen, mara nywele zangu chafu ,kucha zina hitaji marekebisho mara eheee wiki ijayo kuna sherehe nguo sina wala viatu. Hujakaa vizuri unasikia wiki hii nadaiwa hela ya vikoba,hujakaa sawa sijatoa hela ya mchezo siku tatu.

Mpaka unamtizama na kujiuiza hivi huyu kabla ya kuonana na mimi alikuwa anaishije?.

Kama ulikuwa unategemea ktk vision zako atakuwa wife wako,unaachana nazo unaandaa mpango mkakati wa kumla na kumpiga chini.
 
Pole sana... Ngoja waje kukup muongozo wa "Tafuta hela"
 
Wee unachanganya mafile, mwanamke ambae hawez kujinunulia bando sioni kama ina mahusiano na kukosa upendo wa kweli labda uwe unazungumzia wale omba omba wanajali ulichonacho tu. We unadhani ukiwa na hela ndio umemaliza kila kitu? si kweli. Uliza wenye mihela yao kinachowakuta.
ukiona mwenye hela yanamkuta makubwa basi jua kina mabo mawili tu.
Mshamba/limbukeni zuzu! Au
Ndago.
Kifupi mshamba hajui kuitumia hela. Anafakamia misosi tuuuu.tena ya hovyo yaani yeye ni kiti moto.mbuzi.nundu za mitaani/bia za mtaani.....mwishowe anagonga kisukari.Bp.gout!nk kwanini asiumie??
Tajiri mjuaji/msomi/mwelewa/mzoefu/toto ya mujini mwee!...
hafanyi hayo.yeye ni maji sana. Mboga mboga. Matunda tu.na nyapu safi kwa sanaaa. Ni mutu ya watu mtakula nyie wapambe...misaada kwa sana. Majba kwa sana.mimeli viwanda.ili mle nyie siyo yeye.
tajiri ni muziki kusoma tyuuuu!! Kuchangia sirikali tuuuu!! Vikao vya ikulu tuuu km Mengi.....safari semina. Kutoa ushauri tuuuu....si unaona matajiri/viongozi walio shiba kwenye misiba/sherehe /semina wanakula /wanalala kiduchuuu....lkn wanaongea sana .na vitu km ivo....achana na matajiri washamba.
 
zaliii la mentalii limetokea kitimtim na njaa akatokea dem mkali......tutu turu tutu triruuuu turururu DJ walete....
 
Mwendo tu
 
Attachments

  • Screenshot_20221012_150714_com.whatsapp.jpg
    Screenshot_20221012_150714_com.whatsapp.jpg
    61.7 KB · Views: 37
Unatafuta mwanamke mwenye aibu, mvumilivu na asie na uroho wa tamaa, pupa ya kupata vitu, anaeridhika na hali yako na yake pia,, mwanamke mwenye utu, hofu ya Mungu na haiba za kike sio paka shume,, wapo wachache endelea kutafuta Mungu atakupatia
 
Back
Top Bottom