Watoto wa geti kali mko wapi siku hizi?

Watoto wa geti kali mko wapi siku hizi?

Sasa mnavyolalamika ndo nini? Kama hao 5% ni ndogo jifunze kuishi na hao ombaomba. Kulalamika ni kukataa uhalisia.
Nandio uhalisia uliopo, namalalamiko hayawezi kuisha kwa sabab, wanawake wanageuza wanaume vitega uchumi , jambo ambalo katika muktadha wa mapenzi ya kweli halipaswi kuwepo. Nahaya malalamiko ya mleta mada ni ili mbadilike muache kua ombaomba, kwa wale ambao niombaomba, na badala yake mshirikiane na wanaume katika process ili muonekane wa thaman nasio wadangaji.
 
Tupo mkuu,tunasubiri kukuche tupewe mimba na houseboy,mlinzi getini,binamu zetu,kaka zetu na baba zetu pia.Hii Dunia...wallah Tena!!!🙌
 
Ndiko tunakolazimishwa na Dunia ya Leo. Kabla hatujafika huko Maombi yangu nimpate mtoto wa geti kali anayejua mapenzi ya kweli
Labda kwa maombi tu maana hakuna kinachoshindikana kwenye maombi.
Sisi wengine tulikutana na hao wa geti kali na tukala za uso hivyo hivyo.
 
Hakika hii ni moja ya majanga ya taifa litambuliwe na serekali kama majanga yanayo didimiza vijaana
 
We Cry Together

Kendrick I Lamar

Sauti iwe chini kidogo.
 
Ati mtoto wa geti kali ambae hana njaa ya pesa? Kwa maana nyingine unataka mwanamke kwao mboga saba afu wewe pesa huna una mapenzi tu?

Kwani akiwa sio wa geti kali na kwao wana maisha ya kawaida hawezi kuwa na mapenzi ya dhati?

Wadogo zangu ambao mko humu kwenu pesa haisumbuwi musiolewe na wanaume wenye maisha duni wana wivu kupindukia.

Shoga yangu sasa hivi ni marehemu kisa kuolewa na mwanaume njaa. Na kila mtu alimzuia ila alisema atapambana mme akae sawa.

Baada ya ndoa wivu wa kipumbavu ukaanza. kwao na shoga yangu magari yapo kibao so alikuwa akienda nyumbani kutembea muda wa kurudi kwa mme wake anapewa dereva ampeleke asipande daladala.

Deleva akimfikisha mme akaona walivyoletwa yesuuu anavimba maneno yanaanza oh unajidai kwenu kuna hela maneno kibao.

Kingine tangu amuoe hakuwahi kununua chakula humo ndani anasubili shoga aagize kwao vyakula. Na huyo mwanaume sio kwamba hakuwa na hela hata ya chakula, no alikuwa na kikazi so vipesa vidogo alikuwa navyo.
Shoga yangu alikuwa akipambana bila kujali kwao pesa ipo lakini yule mme hapana.

Hakuwahi mnunulia hata kitenge kisa eti kwao hela ipo? Kilichomkuta ndani ya muda mfupi ni mauti.

Mwanaume tafuta pesa zako wacha kuwaza kuoa wenye nazo wakati wewe una 1200.
Dada yangu hao wanaume wenye pesa wapo wa ngapi? Nyie ndio mnao waponza wenzenu wawe masingle mother.

Huo ushauri wako umri ukianza kuwa kimbia unakuwa vice versa, mwisho utawasikia "natafuta yoyote wa kuzaa nae ".
 
hahahaha demu hata bando hawezi huyo hafai
ukiona demu anakupendea bundle/hela/vitu/kazi..... ndo hakutaki ivo.mapenzi ya kweli yapo mengi tu. ila jua na mikosi/.balaa/.gundu/ sugu/unalia udomo zege/ujinga wa kudumu/swaga mbovu/.ubaya wa sura yako vipo pia usisahau...utamu wooote huu wa kina dada bado unalialia??...tena siku hizi ndo balaa, wana hela hao.kazi nzuri.mawaziri.waenda Dubai.ulaya mwee! Zaidi kuliko me!....siku hizi me wanabembea kwa hela ya ke!!.....mikosi yako weye huko!hukoooo.tuachie sisi tubembeee nyau weye.
Hujui kuongea wewe....yaani siku za mwisho hizi. mademu ni bwerere....tena vidogoo chuchu saa sita vitamu ivo!! Heeee!...yaani hata madingi wa bungeni wanakupita kwa kuopoa vidosho??? ...nenda kaaguliwe kwenu kuna kitu ulifanya huko...
 
Na wewe ni member wa JF ?
 
Hakuna kitu nachukia kama Demu kuniona Danga...nimekutongoza leo kesho eti kafiwa anataka nauli ya kwenda msibani. Hahahahahaha

Njaaa tupu alafu kinachouma zaidi unakuta hata kudanganya hajui
 
Nataka mke anae jua tumia pesa to li nitafute zaidi na zaidi najua huyu ataniombea lkn asipo niombea asije
 
Noo,sio kweli la huwa mnakurupuka,mfn. Yan Unahela then unadate na mwanamke ambaye hata kujinunulia bando hawez sasa ataweza kukupa mapenz ya kweli?
Wee unachanganya mafile, mwanamke ambae hawez kujinunulia bando sioni kama ina mahusiano na kukosa upendo wa kweli labda uwe unazungumzia wale omba omba wanajali ulichonacho tu. We unadhani ukiwa na hela ndio umemaliza kila kitu? si kweli. Uliza wenye mihela yao kinachowakuta.
 
Hakuna kitu nachukia kama Demu kuniona Danga...nimekutongoza leo kesho eti kafiwa anataka nauli ya kwenda msibani. Hahahahahaha

Njaaa tupu alafu kinachouma zaidi unakuta hata kudanganya hajui
Si umuache utafute mwingine.
 
Context izingatiwe

Nivilio kila Kona, wanaume wakiuliza yako wapi mapenzi tuliosimuliwa na Babu zetu. Waliotuhadithia kuwa mapenzi si pesa bali hisia za wawili waliopendana na kuamua kuishi bila kuathiliwa na Hali ya mtu kiuchumi, kijamii, na ata kielimu.

Waliotusimulia simulizi hizi wakifufuka na warudi kwenye ulimwengu wa Leo, si ajabu watajikuta chama watakachoweza kujiunga ni CHAPUTA tu kwani mapenzi imekua bidhaa aghali sana .

Almost girls wote wamekua ombaomba, wote wana njaa, wote hawana Kodi, wote hawana uwezo wa kuhudumia simu , wote hawana nauli kuudhulia makwao kipindi matatizo yanapotoke, wote wanahitaji kwenda salon, wote wanahitaji nguo na vifaa lukuki vya urembo. Bila pesa ukidate nao hutayafurahia mapenzi. Na hata ukijitutumua uwe na uhakika makasiriko hayatakuisha.

Mimi nauliza watoto wa geti kali ambao sifa yenu ilikua ni upendo wa dhati Leo mmeenda wapi???

wanawake wanaotokea familia bora wao walikua wakipenda ndo shughuli imeisha. Atafanya visa vyote ili kupambania penzi la roho. Kitu hiki kimekua hadimu kama kupata bikra uswahilini. Jamani watoto wa geti Kali mpo ?

Nauliza hivi coz ukifanya utalii wa ndani ya nchi hii utaona maendeleo ya vitu. Watu wanaishi nyumba Bora za kisasa , wanatembelea magari makali, wanasoma kwenye shule aghali toka kindergarten hadi elimu ya chuo. Cha kushangaza watoto wa geti Kali hawapo Tena mtaani Ili kuendeleza sifa Yao ya mapenzi ya dhati. Badala yake wote wamekua wadangaji na makuwadi.

Najua mtavamia Uzi huu na kusema acha kulialia tafuta pesa, but I stand with my point ....wako wapi wanawake wenye mapenzi ya kweli ?

Wengine tumejaliwa pesa ,ila tunatamani kuzitumia na wanawake wenye mapenzi ya kweli , Cha kushangaza tunaambulia wadangaji.

Tunahitaji mapenzi na sio utelezi na kumwaga. Ndio maana malaya hawezi ku replace mpenzi. Malaya wako kila mahala ila wanashindwa kutambua hitaji la binadamu ni mahusiano zaidi ya sex.

Mmetugeuza wanaume kuwa kama mateja wa sex. Daily tunafanya mambo mengi hatarishi Ili tupate pesa ya kutafuta mapenzi na badala yake tunaambulia mbunye tu. Mbususu sio mapenzi, mapenzi ni furaha, amani, utulivu, maelewano, mshikamano, urafiki, na mapenzi teletele.

Na kwa sababu mapenzi yamekosekana kilichopo sokoni ni sex tu. Nimasikitiko kuona tunaishi kwenye jamii ambayo wanawake hawana kingine to offer than SEX. This is too sad.

Shime shime watoto wa geti Kali mjitokeze muokoe jamii. Kwa mkutadha wa uzi huu mtoto wa geti kali ni yeyote mwenye mapenzi ya kweli na sio njaa ya PESA. Anaeweza kuthubutu kuingia kwenye mahusiano na ukapita mwezi hajatangaza njaa na shida zake bali kipindi chote hicho lugha yake iwe UPENDO
Simu zimevunja mageti. Hakuna watoto wa geti kali nowadays
 
Ati mtoto wa geti kali ambae hana njaa ya pesa? Kwa maana nyingine unataka mwanamke kwao mboga saba afu wewe pesa huna una mapenzi tu?

Kwani akiwa sio wa geti kali na kwao wana maisha ya kawaida hawezi kuwa na mapenzi ya dhati?

Wadogo zangu ambao mko humu kwenu pesa haisumbuwi musiolewe na wanaume wenye maisha duni wana wivu kupindukia.

Shoga yangu sasa hivi ni marehemu kisa kuolewa na mwanaume njaa. Na kila mtu alimzuia ila alisema atapambana mme akae sawa.

Baada ya ndoa wivu wa kipumbavu ukaanza. kwao na shoga yangu magari yapo kibao so alikuwa akienda nyumbani kutembea muda wa kurudi kwa mme wake anapewa dereva ampeleke asipande daladala.

Deleva akimfikisha mme akaona walivyoletwa yesuuu anavimba maneno yanaanza oh unajidai kwenu kuna hela maneno kibao.

Kingine tangu amuoe hakuwahi kununua chakula humo ndani anasubili shoga aagize kwao vyakula. Na huyo mwanaume sio kwamba hakuwa na hela hata ya chakula, no alikuwa na kikazi so vipesa vidogo alikuwa navyo.
Shoga yangu alikuwa akipambana bila kujali kwao pesa ipo lakini yule mme hapana.

Hakuwahi mnunulia hata kitenge kisa eti kwao hela ipo? Kilichomkuta ndani ya muda mfupi ni mauti.

Mwanaume tafuta pesa zako wacha kuwaza kuoa wenye nazo wakati wewe una 1200.
Khaa! Mwanaume alikua na gubu kama lote.
 
Ongeaa...Lalamikaa..Tukanaaa ila MWANAUME TAFUTA HELA UPATE MAPENZI either ya kweli au Uongoo tafuta HELAA otherwise piga nyetooo tuuu..!!
 
Mkuu mbona MAOMBOLEZO kama mtoto wa YATIMA..
TAFUTA HELA NDIO UTAWAPATA WANAWAKE WENYE UPENDO WA KWELI.
Bila shaka hauna hela mkuu...kila asie na hela huamini akiwa na hela atapata kile alichokikosa...
 
Back
Top Bottom