Recent content by ravalamanana

  1. R

    JamiiForums Tanzania Unene ni ugonjwa mbaya, sijui kwanini watu wanaukumbatia!

    mkuu umenichekesha sana....haaaaa"utazani dumu la petroli"
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanaharakati wa siasa, Humphrey Polepole yuko wapi?

    Polepole yupo...natamani sana angalau apewe kitengo chochote maana nimmoja yakija ninayemwelewa sana...bigup Polepole
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kinachowakimbiza wachaga na wameru kaskazini -ukweli mchungu!

    mkuu kumbe ndiomaana jamaaa wapo kila kona wakitumia kivuli cha utaftaji kumbe wazungu wamewakimbiza!!!!duh sasa wakijitenga vile baadhi yao wanavyotaka watakimbila wapi?????
  4. R

    JamiiForums Tanzania Niliwapigia CCM kura, sasa mbona wale jamaa hawaisomi namba?

    mkuuu naongea ninachokifahamu and nilichoambiwa kipindi cha uchaguzi....unachosema mie sikuambiwa huku Mahenge Morogoro..labda km wewe uliambiwa kazi yakwanza ingekuwa nikushughulikia mfumo basi sawa...mimi niliambiwa wezi wapo nawanafahamika kilichokuwa komebaki ni tupate madaraka then waswekwe...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Niliwapigia CCM kura, sasa mbona wale jamaa hawaisomi namba?

    mkuu ayoub;mie nilishasoma namba mwaka jana maumivu yanahishia tu kwasasa
  6. R

    JamiiForums Tanzania Niliwapigia CCM kura, sasa mbona wale jamaa hawaisomi namba?

    wow mkuuu,kumbe ni mchakato...sawa,vp taarifa zandani znasemaje kuhusu wale mabwenyenye wa UKAWA,wao mchakato wao wakuisoma namba itaweza kuanza lini haswa maana mie niliekuwa kimbelembele nakutihii yote niliyoambiwa na CCM nimeshosoma namba tiyari...."nilitamani sana hao mafisadi wakina LOWASSA...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Niliwapigia CCM kura, sasa mbona wale jamaa hawaisomi namba?

    Ndg waTanzania CCM iliniaminisha kwamba nikiwapigia kura(yaani kuipigia CCM kura);basi!!LOWASSA na UKAWA wengesoma namba mapema sana!!!!!cha ajabu bado kimya tu,&wanaosoma namba ni wananchi waadilifu kwa CCM mfano bomoabomoa itakayoendelea January5,2016 jijiniDar.Au mie ndo sijuhi hiii namba...
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatembea na binti yake, nimethibitisha leo

    mkuu;hao wote wamelaaniwa....
  9. R

    JamiiForums Tanzania Who is Lowassa? Na nani wa kutumbua Jipu hili? JPM tusaidie..

    mkuu DNR nakubaliananawe 100%...hili ndilo jipu nililozani Magu angeanzanalo!!!!cha ajabu naona wanamzunguka tu kwanini????mbona mahakama ya mafisadi bado kimya,kwanini hawajampeleka mahakamani??????CCM kwanini mnamwogopa lowasa kiasi hki...maneno ndo meeeeengiii mara ohhooo jamaaa ni fisadi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna mtu amehack simu yangu

    pole sana mkuu....toa taharifa haraka xna sehem huska ....husipuuzie plz
Back
Top Bottom