Hivi Mwanaharakati wa siasa, Humphrey Polepole yuko wapi?

eerua

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
373
204
Humphrey Polepole yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Anasubiria wadhifa ktk serikali ya JPM

Ovaaa
 
Last edited by a moderator:
We kenge kapige tonye ukalale
Hicho kijamaa ndio maana kinaonekana kizee kikongwe cha miaka 70 wakati ni kijana mdogo kabisa kwa sababu ya majungu majungu.... Kinalazimisha hoja wala hakina logic yeyote..i really don't like this guy
 
Polepole yupo...natamani sana angalau apewe kitengo chochote maana nimmoja yakija ninayemwelewa sana...bigup Polepole
 
hiki kijamaa kinajiect kama kinyerere kidogo iv i.ila ni pumba tupu ni nguvu kiunoni tu tu hakitaki haki .mbona kinakataa tume huru ya uchaguzi
 
Mini kiki kijamaa kikirokeza kwenye tv yangu ,tv inajizima yenyewe sijuikwanini .nadhani hata tv inajua kuwa bored
 
Duh. hiki kijamaa kilijivika mabom! nitashangaa sana jpm akimwachia jua la utosi
 
Nimecheka sana nilipoona thread hii huyo mkuda huyo nilikuwa namheshimu sasa simuheshimu tena
 
Watu wengi wanamsema Pole Pole kuwa alikuwa mpiga debe wa ccm hivyo anastahili kulipwa fadhila; kama kuna mwandishi wa habari anayestahili tunzo kwa kuandika hoja nzito za kupinga Lowassa kuchaguliwa kuwa Rais kwangu mimi namchagua Johnson Mbwambo wa Raia Mwema kupata tuzo ya kuinusuru nchi!!!
 
Back
Top Bottom