pakamwam
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 516
- 653
Hamjambo wapendwa,
Naanza kwa kusema jamani kunakuwa na ongezeko kubwa la watu kuota vitambi na kunenepa ovyo.
Yapo madhara mengi sana yatokanayo na unene kama kuongeza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na shinikizo la damu.
Vijana jiepusheni na vitambi vya kushtukia za hivi. Fanyeni mazoezi na kudhibiti chakula.