Ndoa ni muungano na mkataba halali kati ya mwanaume na mwanamke walioamua kuishi pamoja. Ni kibali, ni baraka, ni idhini, ni halalisho, ni ruhusa rasmi kutoka kwa wazazi, taasisi za kidini, ndugu, marafiki na jamii kwamba sasa unaweza kuishi pamoja mwenza wako kama mume na mke. Pia, ndoa ni...