Ni jambo gani ambalo ulisingiziwa na unaonekana kweli ulilifanya na utetezi wake umekataliwa mpaka Leo? Yaani Ukweli halisi unao mwenyewe tu

Dah, miaka mingi nyuma nikiwa mdogo, darasa la 7 au form 1, nilisingiziwa na mzee mmoja kwamba eti nimemchungulia akiwa chooni. Nilikuwa na mazoea ya kwenda kumtembelea uncle wangu mmoja kwake na alikuwa amepanga nyumba ya nyuma na nyumba kubwa ambayo mbele alikuwa akikaa mzee mwenye nyumba. Around saa 2 usiku,nilipoenda kujisaidia msalani, nikasikia sauti ya kiume ya mtu mzima, kutokea upande wa pili wa ukuta/nyumba ya pili mzee akipiga makelele kuekelea kwetu, 'nani huyo ananichungulia chooni" nilikaa kimya, mara baada ya dakika chache mzee akaja kwetu na bakora kuulizia "nani alikuwa chooni kwenu?" Nikajibu 'ni mimi, lakini sijachungulia mtu", Nilikuja kuokolewa na mzee mwenye nyumba wetu alimwambia mzee mwenzake kwamba "Hebu twende huko chooni tuone kwanza", ndipo walipofika huko ilidhihirika wazi kwamba "kwa upande huu, haiwezekani, sio tu kwa mtoto kama huyu bali hata mtu mzima hawezi kuchungulia kutokea hapa", kwa aibu mzee yule akaondoka na bakora yake, nami nikapoea chupu chupu, na nikabaki salama, hadi leo nikiwaza sijapata jibu la logic ya mzee yule ilikuwa ni nini
 
Mzee alikuwa tu na hamu ya kuchapa.
 
Kuna mambo mengi tumeonekana tuliyafanya ilihali hatujayatenda lakini jamii yako mpaka Leo unajua kweli ulifanya.

Binafsi ninaishi jirani na shule na njia yangu Mara nyingi huwa napita nyuma ya shule.

Sasa siku moja napita nakutana na binti mdogo miaka 14 mpaka 16(makisio) anatokea dirishani kwenye madarasa (hii shule madirisha mengi yapo wazi tu na ni makubwa kiasi mtu anapita) na alikuwa na msela sijui hawakupangana vizuri na Mimi ndio naelekea upande anaokimbilia.

Binti anatukana matusi mazito kwa yule jamaa aliyebaki darasani, mtu mzima hovyo unataka ufanye mapenzi na Mimi, kiukweli alitukana matusi mengi, hapa nilitamani nigeuze nikimbie nisije nikaonekana ni Mimi ndio naetukanwa. Mbele tunakoelekea watu wanakuja wanashangaa wewe jamaa vipi unataka ubake? Nilijitetea pale lakini utetezi wangu haukuwa na mashiko maana waliona binti anatukana huku anageuka na nyuma niko Mimi tu hakuna mtu mwingine.

Yule binti sijawahi muona mpaka Leo, ila watu waliopita na jamii mpaka Leo wanajua Mimi nilitaka kumbaka yule binti.

Nilijitetea lakini wapi, imebakia hivyo ni jambo linaloniumiza sana , ila ukweli halisi ninao mwenyewe.
Pole sana. Kisa chako karibu kingefanana na cha kwangu. Ni hivi: Miaka ya nyuma nilienda likizo nyumbani. Ni kijijini na kwenye saa moja mbili usiku barabarani ni kama hakuna watu. Sasa siku hiyo mimi nilikuwa natoka ki-grocery kimoja kunywa. Ilikuwa muda wa around saa moja na nusu usiku, nakatisha kwenye ki-mto fulani na eneo halina makazi ya watu. Mara nikakuta na jamaa mmoja, namjua tangu zamani. Ni mlevi mbwa mmoja hivina siku hiyo alikuwa amelewa chakari. Aliponiona tu akaanza kuniomba (au sahihi kama anadai hivi) fedha ya kunywa. Nikamwambia ndugu yangu umelewa namna hii halafu unataka tena kwenda kuongeza. Ni siku nyingi nilikuwa sijamuona na nilikuwa sijui kwamba akilewa network zinakata namna hiyo. Akanidaka shati na kusema usiniponipa buku leo hutoki hapa. Mimi kwanza niliona ni kama anafanya utani, lakini nilipoona anadhamiria nikafanya kujikwamua kwa nguvu huku nafanya kama kum-push. Kuona hivyo akaanza kupiga kelele kwa nguvu kabisa ''fulani (akitaja jina langu) ...anataka kunifir*, saidia, ....... anataka kunifir*. Yaani alipiga kelele sauti ikasikika eneo lote. Baadae nikajikwamua nikamwacha anapayuka. Sasa nikapata mtihani. Kabla sijafika nyumbani huwa nakatisha kwa majirani na lazima walikuwa wamesikia hizo kelele. Nikaona watadhani ni kweli nilikuwa na hiyo dhamira. Ikabidi nigonge hodi kwanza kwa jirani mmoja nijieleze. Wakaniambia huyo wala asikupe shida ni tabia yake akilewa tumeshaizoea hiyo. Basi ndiyo nikapata ahueni.
 
Dah, miaka mingi nyuma nikiwa mdogo, darasa la 7 au form 1, nilisingiziwa na mzee mmoja kwamba eti nimemchungulia akiwa chooni. Nilikuwa na mazoea ya kwenda kumtembelea uncle wangu mmoja kwake na alikuwa amepanga nyumba ya nyuma na nyumba kubwa ambayo mbele alikuwa akikaa mzee mwenye nyumba. Around saa 2 usiku,nilipoenda kujisaidia msalani, nikasikia sauti ya kiume ya mtu mzima, kutokea upande wa pili wa ukuta/nyumba ya pili mzee akipiga makelele kuekelea kwetu, 'nani huyo ananichungulia chooni" nilikaa kimya, mara baada ya dakika chache mzee akaja kwetu na bakora kuulizia "nani alikuwa chooni kwenu?" Nikajibu 'ni mimi, lakini sijachungulia mtu", Nilikuja kuokolewa na mzee mwenye nyumba wetu alimwambia mzee mwenzake kwamba "Hebu twende huko chooni tuone kwanza", ndipo walipofika huko ilidhihirika wazi kwamba "kwa upande huu, haiwezekani, sio tu kwa mtoto kama huyu bali hata mtu mzima hawezi kuchungulia kutokea hapa", kwa aibu mzee yule akaondoka na bakora yake, nami nikapoea chupu chupu, na nikabaki salama, hadi leo nikiwaza sijapata jibu la logic ya mzee yule ilikuwa ni nini
Hii yako nimecheka sana😂
 
Kuna mambo mengi tumeonekana tuliyafanya ilihali hatujayatenda lakini jamii yako mpaka Leo unajua kweli ulifanya.

Binafsi ninaishi jirani na shule na njia yangu Mara nyingi huwa napita nyuma ya shule.

Sasa siku moja napita nakutana na binti mdogo miaka 14 mpaka 16(makisio) anatokea dirishani kwenye madarasa (hii shule madirisha mengi yapo wazi tu na ni makubwa kiasi mtu anapita) na alikuwa na msela sijui hawakupangana vizuri na Mimi ndio naelekea upande anaokimbilia.

Binti anatukana matusi mazito kwa yule jamaa aliyebaki darasani, mtu mzima hovyo unataka ufanye mapenzi na Mimi, kiukweli alitukana matusi mengi, hapa nilitamani nigeuze nikimbie nisije nikaonekana ni Mimi ndio naetukanwa. Mbele tunakoelekea watu wanakuja wanashangaa wewe jamaa vipi unataka ubake? Nilijitetea pale lakini utetezi wangu haukuwa na mashiko maana waliona binti anatukana huku anageuka na nyuma niko Mimi tu hakuna mtu mwingine.

Yule binti sijawahi muona mpaka Leo, ila watu waliopita na jamii mpaka Leo wanajua Mimi nilitaka kumbaka yule binti.

Nilijitetea lakini wapi, imebakia hivyo ni jambo linaloniumiza sana , ila ukweli halisi ninao mwenyewe.
Doh!!Pole sana jamaa..
 
Ilo jambo limenikuta mimi pia mwisho wa wiki kuna senge moja au bwabwa linachukua picha zangu facebook then linaweka whatsapp status zake kama mimi ndo basha wake ikizingatiwa ata bar mimi siendi sasa likawa linatangaza kuwa eti mimi nimelipakua aisee nilifedheeka mno mpaka ivi sasa ninavoandika kila nikiwaeleza wanajamii hawakubali wanasema kweli inaniuma mno.
Huyo choko atakua anafikiri unataka kugombea 2025😂😂
 
Friends of mine walipolewa wakaanzakunishutumu nawalia mademu zao...I hate them that day mpaka leo...huwa nipo close na mashemeji making stories lakini since that day walijua nimechange no stories. Kuuliza nawaambia I’m busy mambo mengi. Niliwasubiri washkaji wakiwa sober nikawachana and they had kujitetea ni ulevi and blah blah.....sitaki kuwa karibu na mashemeji mpaka kesho
 
mwanafunzi wa kidato cha tatu alitoroka kwao yapata wiki tatu siku ambayo alidhamiria kurudi kwao nilimkuta maeneo ya kituo cha basi mda huo sijui lolote kuhusu yeye akanisalimia baada ya salam akaomba samahani mimi nikamwambia bila samahan yule mtoto wakike akaniomba elfu moja ili apate nauli nikaamua kumpa baada yakupokea kwani unaitwa nan na unakaa wap bila wasi nikamtajia jina mpaka sehem nayoish kwa maelekezo yule mtoto wa kike akaondo na mimi nilipanda gari ya abiria nikaenda kazini balaa likaja mida ya jioni nilipotoka kazini ile napfika nyumbani naktana na wazee kwenye noah napelekwa polisi kesi ya kutorosha mwanafunzi kubaka nilpo kataa nikaulizwa alijuaje kwenu na jina lako aisee bora niishie hapa
 
Da endelea mzee
 
Back
Top Bottom