Recent content by Rassa

  1. Rassa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iseme inataka nini kwa Wabunge 19 Viti Maalum

    Unataka kutuaminisha kuwa hizo nafasi huwa wanazipata kwa kuwekwa nyumba ndogo na vigogo? Kuna madai ya wale wabunge wa kike wa CHADEMA waliounga mkono juhudi kipindi cha mwendazake kuwa viongozi wa CHADEMA huwa watoa hizi nafasi za viti maalumu kwa rushwa za ngono na 10% kwenye malipo yao ya...
  2. Rassa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimesikitishwa na ubinafsi wa CHADEMA katika mkakati wa wapinzani kusimamisha mgombea mmoja

    Tatizo la CHADEMA ni kujiona kama wao wanahatimiliki ya siasa za upinzani nchini. CDM wanavichukia vyama vingine vya upinzani kuliko hata CCM. Ubinafsi wao utawagharimu safari hii,baada ya uchaguzi wa mwaka huu ACT Wazalendo kinaenda kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Amini kwamba
  3. Rassa

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo CCM Bernard Membe ametudanganya hana ushawishi mkubwa ndani ya chama, hasira ya CCM ni juu ya wahamiaji.

    CHADEMA Ubinafsi wenu utakiangamiza chama chenu. Juzi tu mlikuwa mnamshabikia huyo Membe baada ya kujiunga ACT Wazalendo badala ya Cdm kama mlivyokuwa mnafikiri eti Membe hana maajabu .
  4. Rassa

    JamiiForums Tanzania Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

    Iringa na Mbeya
  5. Rassa

    JamiiForums Tanzania Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Naona wazee codes wamesepa.
  6. Rassa

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli basi kazi IPO

    Laden na Al Qaeda ni mpango wa USA kama ilivyo kwaIsis,Boko haram,Al shabab n.k
  7. Rassa

    JamiiForums Tanzania Kiranga sio atheist ni non-believer

    Hakika ya mwenye akili ni yule anayetambua uwepo wa Mwenyezi Mungu.
  8. Rassa

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa hajaacha siasa, ashughulikiwe kisiasa

    Nyie ndio mmelaanika,ulishawi nukuliwa humu kuwa Lowassa akisisima kwenye uchaguzi kwa tiketi ya Chadema utajitoa Ukawa. Ajabu ni kuwa Slaa aliyesimamia msimamo wake was awali anaonekana msaliti na nyie mliogeuziwa gia angani na kubadili misimamo yenu ya kuwa Lowassa fisadi eti ndio wazalendo.
  9. Rassa

    JamiiForums Tanzania Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

    Ahmed Suvi wa Pemba Tanzania
  10. Rassa

    JamiiForums Tanzania Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

    Kipara Original
  11. Rassa

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Is Nabir Fekir done deal?
  12. Rassa

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Inawezekana kabisa Buvac na Klopp kuna tatizo,kwa nini aondoke kipindi muhimu kabisa kwa msimu. Hizi taarifa pia za Buvac kwenda Arsenal sio nzuri kwa kipindi hiki.
  13. Rassa

    JamiiForums Tanzania Nini kilichotokea kati ya Kolimba na Nyerere? sehemu ya kwanza

    Ukiendelea nitag mkuu
  14. Rassa

    JamiiForums Tanzania OPERATION GOTHIC SERPENT: Nguvu ya Itikadi, Imani na Ushujaa uliotukuka

    Pamoja mkuu, nitakuunga mkono kwenye hicho kitabu unachotarajia kukitoa.
Back
Top Bottom