Pamoja na kuvutiwa na harakati za CHADEMA nimevunjika moyo kwa kupata msimamo huo kutoka kwa mwenyekiti wetu
kwa mtazamo wa haraka tu kinachokosekana mtwara ni uelewa na sio pingamizi. Hivyo jitihada zinazotakiwa pale nikuwaelimisha watu wajue ukweli na sio kushabikia
Kwa mtazamo wangu...
Mimi nafikiri nikuite mdogo wangu kwani kwa namna unavyo andika inaonekana umdogo kwangu.
1. Mimi naona suala la kumpima huyo dada ungetakiwa umelifanya wakati wa kumpokea, hata hivyo nikutoe wasiwasi kuwa kitendo cha kumlamba mtoto mdomo hata kama angemlamba mara elf hakiwezi kumuambukiza...
Mimi nafikiri kwa majibu yaliyotoka haijalishi mwanamke amejifungua kwa njia gani kwani kinacho ongezeka ni mfumo wa hormone zinazoleta hisia hivyo...awe ni kwa operation au kawaida alimradi unampa maraha na sio stress...mambo inakuwa poa zaidi kwao!!!
Wadau, merry x-mass!!!
Nilinunua ka simu kangu ka blackberry #8100 nilipojaribu ku download skype inasema hii simu hai support skype. Ninachotaka kujua ni blackberry kuanzia number ngapi ina support skype? Asanteni wadau
Poleni sana kwa hayo majaribu ila naamini mungu aliwapigania kwa sabu ya nia yenu njema.
Mimi nahisi kwa maisha ya sasa mtu kujua status yake ni jambo la msingi sana...
Mimi naòna una mwanamke mwenye busara Sana ila uwezo wako wa kúchambúa mambo ni mdogo.Ulicho ambiwá hapo sio kumtafutia mwanaume; nikuwa kwa nini una kwepa majukumu yako kama baba? Unashindwa kuongeá na Mama yako ú nategemea nani akusaidie? Walausije uka thubutu kúmpigá. Wa Mama wengi hujisau...
Mimi nampa pole sana mparee...I can feel his pain;
Kwa upande wa kujiita mvulana nahisi hilo sio tatizo hiyo ni lugha tu...(nafikiri ni direct translation ya Boy)Ila nimefurahi kuwa watu wengi wamemshauri vizuri...
Naona hajasema yupo wapi ila naamini kuna wasichana decent na walioko single na...
Pole sana dada, mimi nilisha pata mkasa mkumbwa zaidi ya huo ila sihitaji kuusimulia.
Jitahidi utengezeze gari lako na usiazime tena hasa mtu ambaye hana gari kwani wengi hawana uchungu nalo.
Mimi sasa nina pikipiki kama muazimaji anajua kuendesha..hiyo anapata tofauti na hapo negative!!!
Nashukuru kwa maoni yenu...Mimi nina umri wa miaka 39, nina Elimu ya chuo kikuu, naishi Arusha, Frankly napendelea mdada wa miaka 27 hivi hadi 32. Nimezaliwa katika familia ya Kichagga yenye imani ya kiislam. Natumai nimejibu maswali yote. Shivez - na pafaham ila panafaa mtu aliyekata tamaa na...
Mimi nahisi cha msingi ni kuwa busy...kwani ukiwa loose unakuwa unawazia hayo mambo zaidi... Lakini kwa mfumo wa maisha ya sasa inabidi ujishuhulishe uweze kusimama mwenyewe yaani kujitosheleza kwa mahitaji yako ya msingi...hakuna mwanamme atakuwa anakubabaisha, kwani unakuwa na uhuru zaidi wa...
Mimi mchango wangu ni kuwa;
Nahisi mbinu za kujiosha kwenye usaliti wa mahusiano hazitatusaidia sana, ni sawa kumfundisha mtu mbinu za kuishi na ugonjwa wa Malaria Badala ya kumuelekeza Hospitali akatibiwe.
Sasa hivi, hali ya uchumi iko tight, watu wanafight mchana na usiku " umeoa bado unaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.