Natafuta mke mwema!

Jul 29, 2012
25
8
Habari zenu wanajf.
Mimi ni Kijana ninayeishi Arusha. Nimezaliwa kwenye familia ya Kiislam yenye msimamo wa Kawaida. Umri wangu ni miaka 39 na sijawahi kuoa japo sasa natamani sana kupata mwenza aliyetayari na mwenye maadili.
Sifa zake: Natamani kupata msichana (full matured) umri kuanzia miaka 26 hivi na kuendelea. Napendelea awe na shape ya kati (asiwe mnene sana wala mwembamba sana na rangi rangi yake iwe Natural. Urefu wa wastani futi tano hivi (150cm to 165cm)
Awe na Elimu ya kuzidi kidato cha nne hivi; Nahisi akiwa anaishi Arusha itakuwa rahisi zaidi kuwasiliana na kutembeleana.
Mimi ni mwongeaji kiasi na ninamoyo wa huruma (wa kusamehe)- forgive & forget japo natamani mtu asichukulie hiyo kama advantage!!!
Mimi niko serious na nahitaji mtu aliyeko serious... Kwangu suala la uaminifu nalipa nafasi ya juu. Kama upo interested naomba ni pm


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom