Its three months - I can't thank JF love connect enogh...

:drum::majani7: umemaliza?

hapana mpenzi, besides, hivi nimekwambia kuwa i like ur user name?? aahh, how rude of me.... destiny!! such a pretty and lovely name!! ulilichagua mwenyewe!! with kinda name...i think u r a very very beautiful gal...i bet no man u pass, will dare to walk without looking at u twice, then thrice times......how i wish to hear ur lovely voice...please jirekodi afu attach hapa bsi....:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Join Date : 18th June 2012,
hahaha, umejiunga 18th june 2012, leo tarehe 24/09/2012, na mahusiano yako yana 3 months, ukitoa siku mlizowasiliana na ile mliyokutana!! duh, so inaelekea ulijiunga kwa lengo la kutafuta mchumba, na ukampata like 2 or 3 days baada ya kujiunga....afu unamsingizia Mungu!! we noma..jipe moyo, ila sidhan kama Sir God anahusika............

Moderator..badilisha yale maneno pale juu, from JF THE HOME OF GREAT THINKERS...to JF THE HOME OF LOVE SEARCHERS.......

Hebu ondoa negativity zako hapa.Umenikera
 
Nilikuwa nikimuomba sana mungu nimpate nitakeyempenda na yeye anipende kwa dhati, sikuwahi dhani kama ningekutana naye JF.... Siku hiyo nimeamka asubuhi fasta fasta bila kufikiria sana nikaingia JF na kupost....... hahah baadae nikaanza kujuta eti nitapigwa madongo... lakini nikajipa moyo na kusubiri nione nini kitatokea. Tell you what wadada out there??

JF kuna wakaka makini mno! nilipata PM nyingi sana, lakini only hii moja nilipoipata sikusita kumjibu "you are leading among candidates" na nikafunga maombi only in two days baada ya communications nyingi na yeye. tulipoonana candidate huyu alikuwa ameexceed expectations zangu big time, yani ni mungu ametuunganisha kupitia JF, tuliongea mengi as if tunajuana tulikuwa tumepotezana, lol.... so many things in common yani!

Its three months now and I cant complain kwa kweli, so far, so good. I love you so much darling wangu and I feel loved too. Ninamuomba mungu safari yetu iwe ya heri na salama, na naamini itakuwa hivyo, na wanaJF wenye mapenzi mema tuzidi kuombeana. Mod tafadhali tafuta jinsi ya kushughulikia wanaokejeli waombaji hapa love connect, hili jukwaa ni sensitive sana, linahusisha maisha ya watu kwa kiasi kikubwa sana, hamjui mtu anachukua courage gani kuja kupost hapa, ni vema kuheshimu maombi ya mtu. Nawakilisha.

Hongera sana Mdada,hy ndio kazi ya Love Connect.Enjoy and take care!
 
Hongera maana si mademu wala makaka wa JF wote full pasua, vuta pumzi kwanza

Si wote,mm sitaki kutoa testmony yangu kuhusu mkaka wa ukweli,decent man niliyemjua through JF maana atanidiss na hii new ID,we are just friends though.
 
hahaha, mbona tayari inaonesha una presha?? kitu cha destiny??? punguza jazba mtoto wa kike.......asa ka ulijiunga kutafuta mchumba si utoke, si ushampata.....usirudi tena hapa hadi atakapokuacha......and atakuacha tu...teh teh teh :-*:-*:-*

Ungekuwa karibu ningekupiga konzi,hv hata aibu huna unamwombea mwenzio aachike ili upate faida gani haswa,sidhani kama utapata chembe hata moja ya baraka ktk ndoa yako kama unayo ama relation.Una roho mbaya haswa,hy breakup inaweza kukurudi ww ukashangaa.
 
Hongera mamii kwa kumpa unaempenda, hope Mungu atafungua milango ya baraka na hamtaishia hivyo bali atawaunganisha na kuwa mwili mmoja.

Ni kweli usemayo, people are not serious, unakuta mtu amemaanisha kabisa kwamba anatafuta mke/mme/mchumba n.k lakini watu wanamkejeli na kumpga vijembe, sio vizuri wana MMU, japo si wote

Nilikuwa nikimuomba sana mungu nimpate nitakeyempenda na yeye anipende kwa dhati, sikuwahi dhani kama ningekutana naye JF.... Siku hiyo nimeamka asubuhi fasta fasta bila kufikiria sana nikaingia JF na kupost....... hahah baadae nikaanza kujuta eti nitapigwa madongo... lakini nikajipa moyo na kusubiri nione nini kitatokea. Tell you what wadada out there??

JF kuna wakaka makini mno! nilipata PM nyingi sana, lakini only hii moja nilipoipata sikusita kumjibu "you are leading among candidates" na nikafunga maombi only in two days baada ya communications nyingi na yeye. tulipoonana candidate huyu alikuwa ameexceed expectations zangu big time, yani ni mungu ametuunganisha kupitia JF, tuliongea mengi as if tunajuana tulikuwa tumepotezana, lol.... so many things in common yani!

Its three months now and I cant complain kwa kweli, so far, so good. I love you so much darling wangu and I feel loved too. Ninamuomba mungu safari yetu iwe ya heri na salama, na naamini itakuwa hivyo, na wanaJF wenye mapenzi mema tuzidi kuombeana. Mod tafadhali tafuta jinsi ya kushughulikia wanaokejeli waombaji hapa love connect, hili jukwaa ni sensitive sana, linahusisha maisha ya watu kwa kiasi kikubwa sana, hamjui mtu anachukua courage gani kuja kupost hapa, ni vema kuheshimu maombi ya mtu. Nawakilisha.
 
Wale wale, wasio watakia heri wenzao

Back
Top Bottom