Recent content by RASHEEDMTOI

  1. RASHEEDMTOI

    Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Miche mingap ya nyanya itatoshea kwa eka moja?
  2. RASHEEDMTOI

    ARUSHA: Watu 2 wafariki papo hapo... Ni katika Mashindano ya magari

    Oldonyo sambu Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  3. RASHEEDMTOI

    Kesi ya Sugu yaahirishwa hadi Februari 8, baada ya mawakili watatu wa utetezi kujitoa

    Kwa dalili hiz Mange anayoandika kuhusu kesi ya Sugu inaonyesha ni kweli
  4. RASHEEDMTOI

    Nairobi Hospital: Hatujapokea fedha zozote kutoka Bunge la Tanzania

    Kila cku aibu tu wanajitafutia
  5. RASHEEDMTOI

    Top 50 Linux System Administrator Interview Questions

    Today, the job opportunities for Linux experts are more than ever. The Linux SysAdmin interview questions range from basic Linux questions to networking, DevOps, and MySQL questions. So, one needs to prepare adequately to ensure success in the Linux system administrator interview process...
  6. RASHEEDMTOI

    E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

    Efm ni ya MAJIZO.. na alikuwa kwenye list Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  7. RASHEEDMTOI

    Kati ya Programmer na I.T

    Network programing hii ndo kitu gan tena hii???
  8. RASHEEDMTOI

    Leseni za Teknolojia: Nokia wawafungulia mashtaka Apple

    Kampuni ya Nokia kutoka nchini Finland imesema kuwa inaishtaki kampuni ya Apple kwa kukiuka haki 32 za kiteknolojia. Kesi hiyo ya Nokia imewasilishwa katika mahakama tatu nchini Ujerumani na Texas. Madai hayo yanashirikisha matangazo, matumizi ya Interface, programu ,antena, chipu na alama za...
  9. RASHEEDMTOI

    FAT32 vs. NTFS vs. exFAT – Difference Between Three File Systems

    FAT32, NTFS, exFAT are three different files systems used to store data in a storage device. Created by Microsoft, they have their pros and cons which you might want to know and will allow you to use them wisely. When we talk about the Windows OS, we realize that the operating system installs...
  10. RASHEEDMTOI

    Tumia laptop yako kutengeneza wifi hotspot

    Inaitwa dree font 50 pack.. mwandiko wake unaitwa Mix 6 font 3
  11. RASHEEDMTOI

    Tumia laptop yako kutengeneza wifi hotspot

    Asante.. pia nimekuta app ya foxfi iko fresh imeniwashia hotspot yangu
  12. RASHEEDMTOI

    Umiliki wa Intaneti; Sasa wa Kimataifa na si Marekani pekee!

    Kuna mabadiliko makubwa yametokea ya jinsi mfumo mzima wa anuani za tovuti mbalimbali zinasimamiwa. Kwa kiasi flani tunaweza sema serikali ya Marekani imepoteza umiliki wa intaneti. Jumamosi hii serikali ya Marekani kupitia Wizara yake ya Biashara imeipa rasmi shirika la ICANN mfumo wa mzima wa...
  13. RASHEEDMTOI

    Tumia laptop yako kutengeneza wifi hotspot

    Me nikiwasha hotspot yang inaaandika iv check substin status .. alaf inaandika validayion error.. msaada
Back
Top Bottom