Kipi ni chuo bora cha IT Tanzania ?

Kipi ni chuo bora cha IT Tanzania ?

nenda UDOM collage of Informatics wako poa sana wale jamaa
 
Na IT mnaenda vyuoni wakati kina Zuckerberg, Gates n.k waliona ujinga

-Google
-YouTube

Ndio vinakufaa Acha kupoteza hela;
Ingekuwa udaktari, uakimu, urubani, ningekuelewa lakini IT. Lakini kama unataka kusomea tafuta chuo serious eti "unique" hahahahha wahindi hawa na ma vyuo yao

Wote hao wameenda chuo.
 
Back
Top Bottom