Recent content by RASAK

  1. R

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kuna alieweza kubadilishana na mtu kwa njia ya mfumo ess atupe ujuzi
  2. R

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo itilima nije magu idara secondary
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Msaada nawezaje kupata ukubwa wa pass port size 120px 150 px kwa kutumia Sim anaeweza please
  4. R

    JamiiForums Tanzania Loan heslb deni kumbe haliishagi?

    Hatukatai value for money lakin iweje retention rate ibaki ileile ya mwanzo wakat den linapungua kila mwaka?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Loan heslb deni kumbe haliishagi?

    Mi nimiongoni mwa wanufaika wa mkopo ambao hivi sasa naulipa kupitia makato ya mshahara nimeenda ofisi ya bodi kuhakiki deni lililobaki naambiwa nitofauti nakias kinachosomeka kwenye salary sleep eti retention fees ongezeko ni asilimia 6 kwa mwaka hivyo kadri unavyolipa kwa miaka mingi na fees...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri nifanyaje; Nimefanya kazi miaka miwili lakini kampuni haijawahi kupeleka michango yangu PPF

    hiv salary slip nihaki ya muajiria au ni msaada wa muajir ?msaada preas
  7. R

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

    dah iyunga piece sana namis sua sider member mfundo claudia emily crazfan namanega kibao
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana uchumi ukiyumba utasikia 'bora tuachane'

    nadhan wanapenda t kipindi cha mwanzo mapenz huwa na bashasha tele lakin kipindi cha mpito nikigum sana kwao hawaamin kipindi cha pili kama wanaweza saidiwa na upepo labda solution kwao ni kubreak apart
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi na nyie wenzangu huwa mnawamisi wapenzi wenu zamani?

    mi nasemaga hawara hana taraka siku nikimtaka tampata ndo nachapa rapa ivoo
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana uchumi ukiyumba utasikia 'bora tuachane'

    nakumbuka enz za mwalimu demu ukimpa maua na kad she say i love you skuizi atakwambia maua mpelekee nyuki !!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Zilianza nywele bandia

    dushelele za bandia eeh wanaita nn et?
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana uchumi ukiyumba utasikia 'bora tuachane'

    ndo walewalee umaskin si kilema nimatatizo ya dunia ww mlimwemgu!!
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaongea na mimi pale tu ninapokuwa nataka kumpelekea zawadi au chakula

    jogoo hafundishwi kuwika blaza
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana uchumi ukiyumba utasikia 'bora tuachane'

    Sorry sijui kwanini msichana akihisi kauchumi kako kameyumba anasema naona umepata mwingine bora tuachane is it no money no honey?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    waleoleo
Back
Top Bottom