frank mayige
Member
- Jan 5, 2013
- 60
- 10
Nimefanya kazi kampuni fulani ya TV, tangu 2012 mpaka 2014, nikaamua kuacha kazi 2014, mpaka sasa bado hawajapeleka michango yangu, nimejaribu kufuatilia PPF lakini hakuna jibu zuri ambalo nimepewa, kila siku naambiwa bwana michango anafatilia sasa ni miaka imepita.
Naomba ushauri wa kisheria nifanyeje, maana kampuni yenyewe imefulia balaa hata mishahara niishu kulipa.
Ahsante.
Naomba ushauri wa kisheria nifanyeje, maana kampuni yenyewe imefulia balaa hata mishahara niishu kulipa.
Ahsante.