Recent content by Rasadam

  1. Rasadam

    JamiiForums Tanzania Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Kuharisha si tatizo.. nende spitali kampe kinga.. jamii ya chanjo.. mtto anakua kuharisha jumla ya uzima. mtto mdgo mavi yake yankua kama ayo.. hana mavi magumu. Samahanini wadau kutumia maneno makali
  2. Rasadam

    JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi cha akili ya binadamu ni nini?

    thanx
  3. Rasadam

    JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi cha akili ya binadamu ni nini?

    nashkuru.. kumbe ni thought za mtaalamu
  4. Rasadam

    JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi cha akili ya binadamu ni nini?

    chronological age ntaijuaje?
  5. Rasadam

    JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi cha akili ya binadamu ni nini?

    ile 15 imetoka wap? na kw nini umeeka 15 badala ya 25?
  6. Rasadam

    JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi cha akili ya binadamu ni nini?

    mimi sjafahamu kweli rafiki, MATENDO yangu ntayajuaje? naomba unifanyie calculation plz
  7. Rasadam

    JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi cha akili ya binadamu ni nini?

    utaujuaje umri wa akili?? ww binafsi una umri gani wa akili?
  8. Rasadam

    JamiiForums Tanzania New member

    drgree ya uongo unayo?
  9. Rasadam

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Askari Polisi ajipiga risasi akiwa lindoni, Mwili wake kusafirishwa kwenda Mwanza

    mnh! maisha yamekua magumu, wapiga dili hawapo? kifo si cha kubezwa. sisi tupo nyuma yke... kwaherii kamanda
  10. Rasadam

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Diamond anamuogopa King Kiba???

    ah diamond anatungiwa mashairi ya nyimbo na mtu wa pili... Hatumii akili yake... ataaibika kiasi amuogopee KIBA
  11. Rasadam

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ujumbe huu wa TCU

    Pole sana, tafuta namba za chuo ulichopangiwa na bodi ya mkopo uwasailiane nao.
  12. Rasadam

    JamiiForums Tanzania TUWAPE NASAHA NA USHAURI KWA WANAFUNZI WAPYA WANAOINGIA CHUO 2016/2017

    Nakuombeni kwa watakao na nasaha tuwape ndugu zetu, kwani chuo si advance school. wengi huteleza na kupata disco na kurudi kijiji akiwa amechanganyikiwa..
  13. Rasadam

    JamiiForums Tanzania Anybody in songea?

    teacher
  14. Rasadam

    JamiiForums Tanzania Anybody in songea?

    from Zanzibar i am geography tracher
Back
Top Bottom