Naomba ushauri kuhusu ujumbe huu wa TCU

Mhigwa one

Member
Nov 5, 2016
60
125
1478936236059.jpg
Wadau bado nahitaji msaada wenu kimawazo najua unaweza usinipe ushauri kwa kuwa wewe umepata chuo na mkopo! TCU wamenichagua ila udom jina halipo batch zote wametoa jina silioni wengi wamenishauri nikaripoti lakini unawezaje kuripoti bila approval ya chuo na kipimo ni kujaribu kuingiza username na password ili Ku download joining kote huko imegoma shida ni nini au mwenye uhakika kuwa kuna majina yanatolewa mengine hivi karibuni anijulishe! Kifupi nimechanganyikiwa pamoja na kufauru vizuri diploma Yangu kwa GPA ya 4.6 nakosa chuo japo hiyo sio logic Yangu nipeni ushauri ndugu zangu barua za ruhusa tayari nimebakiza kibali na mkataba tu niondoke kwenda shule. Au kama kuna mtu ana namba za watu wa admission office anijulishe! Karibuni kwa mchango wa mawazo!
 
kukutia

Member
Sep 26, 2016
24
45
View attachment 432832 Wadau bado nahitaji msaada wenu kimawazo najua unaweza usinipe ushauri kwa kuwa wewe umepata chuo na mkopo! TCU wamenichagua ila udom jina halipo batch zote wametoa jina silioni wengi wamenishauri nikaripoti lakini unawezaje kuripoti bila approval ya chuo na kipimo ni kujaribu kuingiza username na password ili Ku download joining kote huko imegoma shida ni nini au mwenye uhakika kuwa kuna majina yanatolewa mengine hivi karibuni anijulishe! Kifupi nimechanganyikiwa pamoja na kufauru vizuri diploma Yangu kwa GPA ya 4.6 nakosa chuo japo hiyo sio logic Yangu nipeni ushauri ndugu zangu barua za ruhusa tayari nimebakiza kibali na mkataba tu niondoke kwenda shule. Au kama kuna mtu ana namba za watu wa admission office anijulishe! Karibuni kwa mchango wa mawazo!
Kijana nenda ukaripot chuo ukisubir itakula kwako
 
Rasadam

Member
Oct 21, 2016
14

Pole sana, tafuta namba za chuo ulichopangiwa na bodi ya mkopo uwasailiane nao.
 
Mhigwa one

Member
Nov 5, 2016
60
125
My friends! Why many viewers than comments could you assist somebody by only viewing naombeni ushauri wa dhati sijakataa kwenda kuripoti but kama kuna mtu aliwahi pata tatizo kama hili atupe experience alifanyaje na kufanikiwa! Naweza kwenda nikapoteza nauli na muda bure ndio maana nahitaji preliminary information ndipo niende by next week!
 
amygdala

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,078
2,000
mkuu mi nakushauri karipoti chuon na kam huko waatasema haukuchaguliwa hapo basi unapoenda TCU kuripoti hio kitu utakuwa unaenda na taarifa ya uhakika......
 
kampelewele

JF-Expert Member
Oct 13, 2014
2,769
2,000
My friends! Why many viewers than comments could you assist somebody by only viewing naombeni ushauri wa dhati sijakataa kwenda kuripoti but kama kuna mtu aliwahi pata tatizo kama hili atupe experience alifanyaje na kufanikiwa! Naweza kwenda nikapoteza nauli na muda bure ndio maana nahitaji preliminary information ndipo niende by next week!
Unalazimisha na bado unaharibu lugha ya wenzako, Je, shule utaiweza?
 
0020le jabaar

Member
Oct 26, 2016
19
45
My friends! Why many viewers than comments could you assist somebody by only viewing naombeni ushauri wa dhati sijakataa kwenda kuripoti but kama kuna mtu aliwahi pata tatizo kama hili atupe experience alifanyaje na kufanikiwa! Naweza kwenda nikapoteza nauli na muda bure ndio maana nahitaji preliminary information ndipo niende by next week!
mi nakushaur nenda kwanza TCU watakupa comfimesion vzur ili ata ukienda chuo utakua una detailz kwa chuo kama udom watazingua2 labda ungekua private lazma wange hastler na ww maoni lakin
 
KATA KUCHA

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
202
225
Hali imejitokeza zaidi mwaka huu kwa baadhi ya wanafunzi wachache. Muhimu fuata ushauri unaopewa wa kwenda moja kwa moja chuoni. TCU wameshakupangia chuo na kazi yao kwako imekamilika kama profile yako inavyoonesha.

Muhimu print hiyo sehemu ya profile yako, beba vyeti vyako na uripoti chuo. Kumbuka kadiri unavyokaa kuomba ushauri humu JF, si TCU wala UDOM wanakusikia.

Ripoti chuoni na ukaeleza huko hali hii na utapokelewa vizuri bila shida.

Nimutakie masomo mema huko chuoni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom