Hela zinaliwa toka serikali yako ya mtaa mpaka mpaka serikali kuu...ndio maana unashangaa kwanini wewe huna hela.
Ukipewa ofisi yenye access na hela hapo ulipo lazam utaiba.
Kabla haujanyooshea watu vidole vya kusuta au kulaumu jiulize how much have stolen yourself kwa hicho kijinafasi chako...
Hivi hiyo timetable ya Finnigan mbona imekaa kimpangilio namna hiyo?aliyekuwa akifuatilia muda na idadai ya beer alizokunywa alikuwa ana interest gani nae?? Watu wengine ni wapika dhambi wakuuu
Tembea upate exposure baba....ingekuwa ni mimi ningehakikisha nimeenda space station ya NASA huko mbinguni huko juu...kuzagaa zagaa nyumbani kwako hakukufanyi kuwa mchumi.Ova
Watu wengine pumbavu kabisa...mnatukuza ukoloni kuliko Mungu...English ndio nini?ukiongea English inaondoa mashida ulizo nazo kwa nyumba yako?wako mafala mob Nai wanabonga kimombo but they are living miserably...kimombo yao inawa sort aje?wacheni ufala
Kama ulipita kushoto na tairi ikakanyaga mstari wa manjano pembeni ni kosa and again kama ulitoa tairi ya kushoto nje ya lami pia ni kosa....siku nyingine tulia moaka aliyeko mbele akishakata kulia aende....othws hawa mapanya yatakuuma tuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.