Habari... Natafuta ukumbi uliotulia na uliopo sehemu salama na inayofikika kirahisi Arusha Mjini kwa ajili ya Kuendesha seminar kwa wiki mbili.
Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 30 tu.
Niko interested sana na hii issue but naomba nikuulize maswali yafuatayo:-
1. Je ni utaratibu gani unatumika kwa kufanya biashara huko ?, je ni document za aina gani kwenye investment proposals?
2. Je unatakiwa kufungua account ya bank huko? na kama ndio kiasi gani unatakiwa ku deposit ili...
Ndio maana nasema makosa mengi tunayo sisi wanawake.
Tukiona mwanaume ana pesa kajiseti nyumbani kwake unaanza kuacha nguo moja moja mwisho wa siku unaweka kambi kabisa
Unategemea nini?
Na tukomesheni tu
Hilo nalo ni kosa kwa sisi wanawake....utajiwekaje kwa mwanaume kwa miaka 5 bila ya kujua msimamo wa kukuoa???
Tana na wengine watoto 2 juu kisha unaachwa anaenda kuolewa binti kigori
Wake up ladies!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.