Kabla ya kuoa hakikisha

Kabla ya kuoa hakikisha

i do agree with u 2 some extent thou mapenzi hayana formula
 
Mapenzi hayachagui masters, cheo wala pesa jinsi mtakavyokubaliana ila angalizo wanawake sisi kama vinyonga muda wowote rangi inaweza ku change
 
Nilmwoa akiwa na elim ya kidato cha nne,nikaamua kumsomesha sasa amemaliza Ordinary diploma ya Civil Engineering. Sasa anaomba akasome degree ya Geomatics,nimebaki mdomo wazi naanza rasmi mpango wa kuongeza elimu.
 
Mke wako hana kipato kikubwa kukuzidi mfano kama anaingiza elfu 1 basi mwanaume uingize elfu 2 kwa kufanya hivyo mwanamke lazima akuheshimu tena hakikisha unampa uhuru wa kutumia pesa yake bila kumuingilia.
Hakikisha unamzidi elimu au mnalingana usioe mwanamke anakuzidi elimu italeta shida hapo mbeleni maana nuru na giza havichangamani sasa sio wewe form 4 B unaoa mwanamke ana shahada ya kwanza kuna mambo atafanya utahisi anakudharau na kupelekea migogoro ndani ya ndoa yako.
Tabia ya mke ni tabia ya mamake kwa kiasi kikubwa chunguza jinsi mamake anavyoishi na mmewe kama ndoa yao ina furaha basi ujue na yako itakuwa ya furaha.
Epukeni wanawake wanaowalazimisha kuolewa maana huwa na lao jambo na sio wazuri wakishaolewa.

mwanaume kabla yakuoa jambo la msingi nafikiri ni tabia na kuona kama mnaendana usije ukawa unalazimisha level usisoziweza....mwanamke ni mwanamke tu ilmrad unampiga mashine ya maana hana lolote unampeleka utakavyo....hata kama ana masterz na wewe 6x mwisho wa mwenzi anakukabiz mshahara wewe ndo unapanga budget....hatumi hata mia kwao bila kukushirikisha...kwenye huo mshahara wake wewe ndo unampa matumiz yake yabinafsi sio kutumia pesa hovyohovyo..
Nakumbuka maneno ya vijiwe vya draft wanasema akil ya mwanamke ni yakuvukia barabara tu (mbwembe za wazee wa vjiwen hazna msing) nishaona wanawake kibao wanachukua mikopo benki kwa ajili ya waume zao kununulia magar yakutembelea ambapo mwisho wa siku michepuko ndo inafaidi..
Tena waliosoma sana hao ndo watam angalau wanajiweza no mizinga mingi na wengi huwa hawajiamn wanahisi wanaume wanawaogopa kwa elimu zao......kundi hili wanapigwa na watu wenye elim za kawaida.....mwanaume jikaze upige gem taf...sio elimu duni, pesa huna na hata ukipanuliwa mapaja huwezi kitu wewe utazaraulika duniani kote
 
Nilmwoa akiwa na elim ya kidato cha nne,nikaamua kumsomesha sasa amemaliza Ordinary diploma ya Civil Engineering. Sasa anaomba akasome degree ya Geomatics,nimebaki mdomo wazi naanza rasmi mpango wa kuongeza elimu.

mwanamke apate elimu kidogo awezo kuihandle familia ukijifanya unamsomesha sana angalia usije ukajuta....akilazimisha kusoma aende na ujauzito......nimewaona akina dada wanaojiendeleza vyuoni yaan inasikitisha na elimu ya kibongo bongo ilivo ngumu michepuko kwao ni ruksa ..ewe mume mkeo aliyekochuo wengi wao usalama sifurii kule kizuri kula na mwenzako yanini kunyimana...
 
Ndoa haina formula na wala amani iliyoko kwenye nayo haitokani na application flani kwa hiyo fuata moyo wako. Utaoa unaemzidi elimu na bado anaweza kukuzingua vile vile hivi hujaona wanaosumbulia na std 7 tu tena wao wana masters au phd. Tembela mitaa tofauti tofauti utaona ndugu mume akitoka kazini cheo na elimu yake anaviacha mlangoni.
 
sawa, lakini ni ubaguzi huo mnaofanya ....
 
Back
Top Bottom