Recent content by Rapture Man

  1. R

    JamiiForums Tanzania Lala salama mpendwa Magufuli, Mungu anaipenda sana Tanganyika

    Kwa kipengele hicho cha maombi, unajua vizuri Mungu, wa Yesu Kristu, anafanyaje kazi zake. Hongera! Usiache kumfuata kwa nguvu zote!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimejambiwa live na wachawi leo

    Hayo mambo yapo. Siku moja nililazwa hospitali, kwa nje kulikuwa na chemba ya maji machafu. Asubuhi ya siku iliyofuata nilisikia harufu mbaya na kali sana, nikadhani inatoka kwenye ile chemba. Baada ya kuwa kuruhusiwa, nikiwa kwenye daladala, mambo yalikuwa safi. Lakini baada ya muda mchache...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini hili lisifanyike kupunguza idadi ya vifo baada ya ndege kupata ajali

    Inafanyika hivyo kwenye ndege za kivita za kijeshi. Ndege za kiraia hawajaweka hizo parachuti. Ila kuna maboya yanasaidia iwapo rubani atawahi kuishusha ndege katika bahari, ziwa au mtoni. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    JamiiForums Tanzania Anayedai haya malipo ni Uber kweli au ni wizi wa mtandao?

    Nimepokea ujumbe huu katika simu yangu kwa karibu miezi minne sasa; na mara ya kwanza nililipa elfu 5; Jumbe zikaendelea kumiminika zikidai malipo ya kila mwezi. Sasa nina shaka na huu ujumbe kama kweli unatoka Uber: Uber: Hakikisha unalipa ada ya Uber ya TZS 9000.00 ada uliyotumiwa tarehe...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo nafuu kutoka Bank of Africa (BOA)

    Umesahau ada ya kuandaa mkopo (facility processing fees)
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje siku ya mwisho Mwizi wa kuku achomwe Moto sawa na Mwizi wa Mabilioni

    Moto ni ule ule wa milele, ila ukali wa moto unapishana kulingana na uzito wa kosa la mhusika; inasemekana kuna chamber tofauti tofauti za adhabu; kama ni wachawi....watakutana chamber moja; wezi wana chamber yao; wauaji chamber yao, n.k. Soma kitabu cha Mary K Baxter - A Divine Revelation of...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

    Mwanadamu ana sehemu tatu; roho, nafsi na mwili; ile sehemu iitwayo roho, inafanana sana na Mungu, maana Mungu naye ni roho; tofauti ni kwamba roho ya mwanadamu ina mwanzo, ya Mungu haina mwanzo; Roho ya Mungu inaweza kuumba, ya mwanadamu haiwezi kuumba; na Roho ya Mungu ina nguvu isiyo na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania NAUZA MTUNGI WA GAS SAIZI YA KATI 15KG ORXY UPO MAKUMBUSHO

    Nimeku-PM. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. R

    JamiiForums Tanzania NAUZA MTUNGI WA GAS SAIZI YA KATI 15KG ORXY UPO MAKUMBUSHO

    Sio kwamba hiyo ni bei ambayo lazima uwe na mtungi wa kubadilisha? Kama chupa za soda vile? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. R

    JamiiForums Tanzania NAUZA MTUNGI WA GAS SAIZI YA KATI 15KG ORXY UPO MAKUMBUSHO

    Niletee huo mtungi wa Mihan. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kilichomkuta Zakaria kime-reflect mauaji ya Super Sami

    Akiomba Mungu halafu akajihusisha kufanya jambo kinyume na sheria na kinyume na utu/ubinadamu ategemee kwamba kwa uwezekano mkubwa 'iko siku ataumbuka' hadharani. Mission itakuwa IMPOSSIBLE.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana na mambo ya dini ndio nagundua dini hupumbaza sana binadamu

    Pole sana. Nani alikwambia au alikufundisha 'uache kufikiri', umuachie Mungu kila kitu, uwe kama roboti, umwachie Mungu afikirie kwa ajili yako? Aliyekufundisha hayo alikudanganya na hata yeye hajui afundishalo. Mungu wa kweli katupa uhuru wa kufikiri na kufanya mambo. Hapendezwi na watu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mauaji ndani ya msikiti wa Chumo

    kweli kabisa! umenigusa! natumaini kwamba hayo maneno yatawagusa hao polisi uliowalenga!
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mwinjilisti: Barua kwa Rais Magufuli, kwanini umejiandaa kumwaga damu za watanzania wasio na hatia?

    Barua kali sana! Kama Yohana mbatizaji dhidi ya Herode.
Back
Top Bottom