Mikopo nafuu kutoka Bank of Africa (BOA)

Opera Min

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
901
657
Je waijua BANK OF AFRICA (BOA). Hii ni Benki inayotoa mikopo rahisi ya hadi asilimia kumi nukta saba tu kwa mwaka.

Mfano ukikopa milioni 1. Riba ya mwaka mzima itakuwa 107000. Yaani kwa mwaka mmoja utarejesha riba na mkopo jumla milioni moja laki moja na elfu saba (1107000)

Makato kwa kila mwezi mmoja kwa kipindi cha miezi 12 yatakuwa ni 92,250. Kwa miaka miwili makato yatakuwa
58,583.

N.B
Hii ni tofauti na Benki nyingine zinazotoa asilimia 18 au 17. Mfano kwa milioni moja katika Benki inayotoa riba ya 17 utakatwa 97,000 kwa mwezi.

WANAPATIKANA WAPI HAWA JAMAA?
 
Je waijua *BANK OF AFRICA (BOA)*
Hii ni Benki inayotoa mikopo rahisi ya hadi asilimia kumi nukta saba tu kwa mwaka.
Mfano ukikopa milioni 1.
Riba ya mwaka mzima itakuwa 107000.
Yaani kwa mwaka mmoja utarejesha riba na mkopo jumla milioni moja laki moja na elfu saba *(1107000)*
Makato kwa kila mwezi mmoja kwa kipindi cha miezi 12 yatakuwa ni 92,250.
Kwa miaka miwili makato yatakuwa
58,583.
N.k
Hii ni tofauti na Benki nyingine zinazotoa asilimia 18 au 17
Mfano kwa milioni moja katika Benki inayotoa riba ya 17 utakatwa 97,000 kwa mwezi.

WANAPATIKANA WAPI HAWA JAMAA?

Haya matangazo bana!!!
 
Mkuu naomba kuelewa hapo mbona hesabu zako haziko sawa ? mfano 92,250 x12 = 1,107,000 iko sawa sasa hii ya 58,583 x 24 = 1,405,992 mbona tofauti sana au RIBA ZINATOFAUTIANA ? ?
 
Je waijua *BANK OF AFRICA (BOA)*
Hii ni Benki inayotoa mikopo rahisi ya hadi asilimia kumi nukta saba tu kwa mwaka.
Mfano ukikopa milioni 1.
Riba ya mwaka mzima itakuwa 107000.
Yaani kwa mwaka mmoja utarejesha riba na mkopo jumla milioni moja laki moja na elfu saba *(1107000)*
Makato kwa kila mwezi mmoja kwa kipindi cha miezi 12 yatakuwa ni 92,250.
Kwa miaka miwili makato yatakuwa
58,583.
N.k
Hii ni tofauti na Benki nyingine zinazotoa asilimia 18 au 17
Mfano kwa milioni moja katika Benki inayotoa riba ya 17 utakatwa 97,000 kwa mwezi.

WANAPATIKANA WAPI HAWA JAMAA?
Hii bank nitaitafuta safii
 
Naona wakopaji wamepungua sana kwenye benki zote, juzi kati nmb wamekuja ofisini kubembeleza watu wakope na rejesho miaka 7 au miezi 84 na wananunua madeni ya mikopo mingine. Tutakomaje
 
mi sio.mtu wao but simple sana,mtu anayelipa deni kwa miezi 12 si sawa na anayelipa deni kwa miaka miwili,wa mwaka mmoja atakua na nafuu zaidi
Bora uwasiliano nao wakuelimishe la sivyo utakuwa unadanganya watu/wateja kwa kutumia jina lao, hiyo ya miezi 12 riba iko sawa 17%-19% ,,, ila hiyo ya miaka 2 itakuwa 29% huoni ni kitu hakiwezikani hapo
 
Back
Top Bottom