Anayedai haya malipo ni Uber kweli au ni wizi wa mtandao?

Rapture Man

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
439
145
Nimepokea ujumbe huu katika simu yangu kwa karibu miezi minne sasa; na mara ya kwanza nililipa elfu 5; Jumbe zikaendelea kumiminika zikidai malipo ya kila mwezi.

Sasa nina shaka na huu ujumbe kama kweli unatoka Uber:

Uber: Hakikisha unalipa ada ya Uber ya TZS 9000.00 ada uliyotumiwa tarehe 2019-11-25 kabla ya Jumanne, usiku. Bonyeza kiungo hiki MarketPlace | Direct Pay Online ili ulipe.

Wadau wa Uber mnapokea ujumbe kama huo hapo juu?
 
Back
Top Bottom