Hivi inakuaje siku ya mwisho Mwizi wa kuku achomwe Moto sawa na Mwizi wa Mabilioni

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Kwa mujibu wa Vitabu vya dini ni kwamba;
Wezi, washerati, waongo, wasiotii wazazi wao, wazinifu, wanaotamani, wasiomtii Mungu, washirikina na watendaji wa dhambi ya aina yeyote Adhabu yao ni kuchomwa Kwenye Moto wa umilele,

Yaani ata Yule Mwizi wa penseli na daftari school asipotubu ataenda kuchomwa moto sawa sawa na mwizi wa matilioni au mfiraji.

Hii Adhabu ikoje wakuu haina Kosa dogo wala kubwa wote Adhabu ni sawa.

Je ni bora uchomwe moto kwa kutamani mali ya Mtu au uchomwe moto kwa kuitamani na kuitafuna mali yenyewe kabisa.

Cc Zero IQ
 
Kwa mujibu wa Vitabu vya dini ni kwamba;
Wezi, washerati, waongo, wasiotii wazazi wao ..... na watendaji wa dhambi ya aina yeyote Adhabu yao ni kuchomwa Kwenye Moto wa umilele.
Yaani ata Yule Mwizi wa penseli na daftari school asipotubu ataenda kuchomwa moto sawa sawa na mwizi wa matilioni ......
Hii Adhabu ikoje wakuu haina Kosa dogo wala kubwa wote Adhabu ni sawa?
Cc Zero IQ
Moto ni ule ule wa milele, ila ukali wa moto unapishana kulingana na uzito wa kosa la mhusika; inasemekana kuna chamber tofauti tofauti za adhabu; kama ni wachawi....watakutana chamber moja; wezi wana chamber yao; wauaji chamber yao, n.k. Soma kitabu cha Mary K Baxter - A Divine Revelation of Hell uone mambo. Ila sikulazimishi kuamini alichokiandika huyu mwandishi. Mimi nakiamini sana tu kwa sababu nina ushahidi mwingine (corraborative evidence) tofauti na kitabu hicho!
 
Attachments

  • a_divine_revelation_of_hell_text-mary k baxter.pdf
    753.5 KB · Views: 11

Back
Top Bottom