Recent content by rapharacker

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wale tuliosoma Usagara sec-Tanga

    Asee room ya A2 nilikuta machata yako ya Osama mtt kuna watu wapo second year saiv wakaw wananambia ulkuaga mbabe Sana ila namm nlivyokua tu roomleader nkafuta michata yako yoote na mm ndo nkawa mbabe pale so saiv madg nlowaacha wamekuta historia yang na machata yang now npo first yr chuo ila...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Sorry hv kama nkitaka niinstall GTA5 kwenye PC inabd pc yang iwe na icore ya ngap na RAM ngap na graphc yake iweje
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niombe nini mwaka huu!

    Wah rud chuo
  4. R

    JamiiForums Tanzania Division three [25] ya shule ya kata VS division one [8-17] Feza zikikutana chuoni

    Hawawez kukutana Chuo mmoja. [emoji5][emoji5]
  5. R

    JamiiForums Tanzania APPEAL

    bado upo Chuo joh au ndo untaka usepe nn
  6. R

    JamiiForums Tanzania Game gani zuri la mpira kwenye smartphone

    inabid utengeneza apk ambay ipo modified alaf uireinstall upya lkn uwe na bando kdg alaf kabla hujareinstal hyo gem bac lazma uiamishie gem katka system storage icwe kwenye SD wala internal tumia luck patcher
  7. R

    JamiiForums Tanzania HESLB yafafanua vigezo utoaji mikopo, Waliokosa sababu zatajwa, wapewa nafasi ya kukata rufaa

    ina maana c bado kuna majna mengne yanatoka Yale 5000 kwasabab wametoa kwa asilimia 74 tu au sijaelew vzur
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hili linaukweli au ni porojo tu

    Jamani kama zinaukweli tuambiane
  9. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania gani wenye IQ kubwa zaidi?

    Issue boy pia ana IQ kubwa coz vtin vyake alivyoandka vle na kuvisummarize kutoka kwnye vtab vkubwa vilinsaidia sana kufauru advance bila kumsahau sir Unga na pia mwalim wa olevel wa history Mr.Njeje hao ndo watu wang ambao nahic wana high IQ kwa mawazo yang
  10. R

    JamiiForums Tanzania Chungulia account yako labda utakutana na mkopo

    dooh jamn wengne mpka saiv not allocated in 1st batch af course za vpaumbele ufaulu mzur but WHY? hawa hesbl hawa sema tu ndo vle hatuna uwezo wa kuretreat jins wanavyotufanyia
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu bachelor of science in information technology system

    yaan ww sodoka cjui mdudu gan kama hauna mawazo ya kuchangia c bora usicoment chochote kulko kuweka pumba zako yaan sehem nyng nakutakag umecoment negatively ili tu kuvunja mtu moyo yaan cjui hata unasoma program gan inayokufany ulinge hvyo
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kipi bora : elimu bure form 1 mpaka 4 au mkopo kwa wanachuo wote?

    bora mkopo coz hyo elim bule advantage yake ndgo sana af mbna myaka ya nyuma tumemudu kusoma kwa kulpia tu na hzo shule zetu za kata
  13. R

    JamiiForums Tanzania Jamani first year mimi nakufa njaa chuoni

    daah huyu kumbe anafnya kaz TCU af anatulilia njaa
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    issue boy kansaidia nmefaulu bios advance/ chemistry yupo unga
  15. R

    JamiiForums Tanzania Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    mange kachafua insta naona huku pia ameanza
Back
Top Bottom