masaione
Senior Member
- Sep 21, 2016
- 143
- 58
Duuu! Majina mengine bna !!! Yakukosesha mambo!... Eti ..( van same)[emoji3] [emoji3] [emoji3]We ni van dame bhana,komaa tu. Vipi upo mkoa gani? Kama ni iringa uwe unakuja geto hapa mkwawa unakula kisha unaenda kusoma