Msaada kuhusu bachelor of science in information technology system

Msaada kuhusu bachelor of science in information technology system

Kijana focus kujiajiri baada ya hapo, ushauri fuatilia sana mambo ya android development ,IOS development ukiwa bigwa uko,hutokufa njaa. Soko la mobile App nikubwa na unaeza fanya mwenyewe, sio lazima darasani hata private jifunze kwa bidii
Sawa mkuu
 
ukiona nipo negative ujue hiyo course ya njaa
yaan ww sodoka cjui mdudu gan kama hauna mawazo ya kuchangia c bora usicoment chochote kulko kuweka pumba zako yaan sehem nyng nakutakag umecoment negatively ili tu kuvunja mtu moyo yaan cjui hata unasoma program gan inayokufany ulinge hvyo
 
Back
Top Bottom