Ushauri: Niombe nini mwaka huu!

sir doctor

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
291
66
Mimi nilimaliza form 6 mwaka 2015 Nina Physics D Chemistry B na Biology B+ nilichaguliwa chuo cha St John bachelor of pharmacy ila sasa nimeacha kwa sababu ya kukosa mkopo. Naombeni mnisaidie niombe nini mwaka huu!?

Napendelea sekta ya afya zaidi na naombeni na chuo cha kuomba cha gharama nafuu.

Asanteni
 
Back
Top Bottom