Recent content by rapamsomi90

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wasipoiba wale wapi;??kama wanaoiba wanaendelea kula kuku!!!!

    Ni kweli. Kuna loopholes nyingi naona. Hawa jamaa walikuwa ndani bado. Sijui kama walishatoka
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wasipoiba wale wapi;??kama wanaoiba wanaendelea kula kuku!!!!

    Watu wabaya sana. Niliisikia hii kesi. Iliishaje?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuiba watoto wa shule imeanza

    Dah! ....
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My first ebay Shipment

    Hii kitu mi nliiona tangu mwanzoni (refer attachment). Sema labda wadau hamkunielewa. Bora sasa tuna ushuhuda so sasa hv wadau tutafanya proper decisions tukitaka kufanya manunuzi ya mtandao. Cc @ njunwa wa mavoko
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My first ebay Shipment

    DHL wana ofisi Dsm. Je hawa USPS wana office hapa dsm? Na kama hawana ..mzigo wako unauchukulia wapi?
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bol mobile speed

    Mambo vipi chief. Hebu naomba nipige shule hapa. Hii connectify itatumika vipi kwa hii case. Natanguliza shukurani.
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My first ebay Shipment

    Kuna wengine wanaitwa Shipto.com. kuna mdau alishawahi kuwatumia?
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My first ebay Shipment

    ahsante joel kwa maelezo mazuri. Kwa mfano seller kaandika pale free shipping worldwide. Kwa uelewa wangu hapo MyUs haina haja kwa sababu utakuwa una incur gharama isiyo na lazima
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My first ebay Shipment

    Wakuu... Advantage ya hii myus ni kuwa unaweza kununua bidhaa popote duniani. Na sio kwamba unapunguza gharama. Kwa maana hyo ukitaka kununua mzigo ebay ambao una free shipping...na ukatumia myus lazima unagharamika...si ndivyo?
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My first ebay Shipment

    Ahsante joel lubyama. Advantage ya hii myus ni kuwa unaweza kununua bidhaa popote duniani. Na sio kwamba unapunguza gharama. Kwa maana hyo ukitaka kununua mzigo ebay ambao una free shipping...na ukatumia myus lazima unagharamika...si ndio?
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My first ebay Shipment

    Ahsante joe lubyama. Advantage ya hii myus ni kuwa unaweza kununua bidhaa popote duniani. Na sio kwamba unapunguza gharama. Kwa maana hyo ukitaka kununua mzigo ebay ambao una free shipping...na ukatumia myus lazima unagharamika...si ndio?
Back
Top Bottom