Kuna dada mkali hatare nlikua nae siti moja Dom to Dar, kugeuka nkaona tunda Damu mkononi mwake anataka kulila kashafikisha usawa wa mdomo, nkamwambia kwa sauti ya upole hali ya kumshtukiza sreiously, nkamwambia, kuna mdudu alaf within a second nkalichukua nkalila, akatoa tabasam flan la meno...