Jingle Bells - Msaada wa tafsir

Jingle Bells - Msaada wa tafsir

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
743
...
Now, the ground is white so go it while you're young,
Take the girl tonight and sing this sleighing song
...
(Jim Reeves)

Mwenye tafsir/maelezo yaliyonyooka kwenye hiyo mistari miwili apo juu please share nami hapa
 
Nilichoelewa mimi, 'maisha ni mafupi haya na muda (umri) unakimbia haraka; umri wako (ujana) unaruhusu, ardhi (ya kujiachia) hiyo imejaa tele, muda (hususani usiku) unaruhusu, nyimbo yangu hii nzuri inaruhusu sasa unasubiri nini kujichukulia msichana na kwenda kujipyambia?!!!'
 
ground is white maana yake ardhi ni nyeupe yaani imejaa snow/barafu..kwahyo kacheze kwenye barafu kipindi bado mtoto kabla hujawa mkubwa ukaona ni utoto
 
Back
Top Bottom