Hivi ushawahi kukutana na hii kitu

Hivi ushawahi kukutana na hii kitu

Mimi wakati nikiwa sekondari nilikua nakula nauli.

Konda akinidai namwambia ntampa nikishuka.

Sasa nikishuka naanza kuingiza mkono kwenye mfuko mmoja baada ya mwingine.

Mara mfuko wa shati, najifanya kama sikumbuki nimeweka mfuko gani.

Narudia tena kuji search mfuko mmoja baad ya mwingine.

Hapo gari ishaanza kuondoka taratibu konda ananisubiri huku akiniharakisha.

Baada ya kuona nimejikita kwenye ku search mfuko baada ya mfuko anakimbilia gari anaondoka, huku akiacha matusi kadhaa nyuma
Yaani nimecheka saana , umenikumbusha rafki yangu alikuwa na tabia hi,. Ila yy Ni msichana,Sasa yeye alikuwa anamwaga Hadi madaftari chini anakung'uta daftari Moja baada ya jengine.Hii ilifanyika tukiwa sekondari yaani huwa namkumbusha hi tabia yake anacheka saana.
 
Imenitokea week iliopita.

Nimetoka getting nikaenea stand kupanda daladala niende sehemu flani hivi.

Sasa gari imeondoka tuko katikati ya safari nastuka kuwa nimeacha wallet nyumbani, kwa hiyo nauli sina......

Konda alipofika kwangu nikaona Sina hata namna ya kumuelewesha kwamba Sina nauli, ikabidi niseme tu nimekaa vibaya ntakupa mbele....lakini kiuhalisia nimekaa vizuri tu comfortable.!

Konda akanichangamkia ""umekaa vibaya kivipi wakati ma***ko yote yapo kweny siti na umefungua dirisha unapata kiyoyozi, we broo vipi hebu nipe nauli bhana""

Gari zima wakageuka kuangalia Nani anaeambiwa hivo,,,,nilijiskia Soo kishenzi, lkn nikaona nisipaniki wala nin......nikajiinua kidogo ili nimwambie kwa sauti ya chini sikioni ""kaka bahati mbaya nimesahau nauli nifadhiri ndugu yangu""

Konda akawaka kwa sauti kubwa tofauti na nilioianzisha Mimi...
""""Afu nyie ndo wachawi mnaodharau kazi za watu, Kwanza mi siwezi kuwa na ndugu mshamba kama wew ambae anakumbuka kuvaa vizuri, ananyoa vizuri afu hana hata Mia mfukoni,,,,nyie ndo matapeli hapa mjini""""

Daaah basi gari zima wananiangalia mim....nilijiskia aibu sana...basi yule konda alinipa shombo nyingi sana......!!!!!

Mara ghafla """ Kwanza hebu simama hapo ushike bomba wenye nauli wakae..""" nikawa najivuta kidogo """we m""nge nimesema simama wenye nauli wakae....hii sio gari ya kuhudumia maskini na matapeli""

Wazeee hasira zilizonipanda baada ya kauli hiyo ni Mungu pekee ndo anaejua maana nilijikuta ghafla mwili unaanza kutetemeka na vidole vinaanza kujikunja taratibu kutengeneza umbo la ngumi.

Nikashika bomba huku gari ikiendelea na konda akianza kunitolea shombo mpaka baadhi ya abiria wakaanza kumwambie
""basi konda inatosha msamehe kaka wa watu, bahati mbaya haina mwenyewe mbona unamsema safar nzima"""

Konda """hamna bhna hivi vijamaa ndo vichawi vya biashara yetu, Kwanza usikute humu kaingia kuja kuibia watu,,,Kwanza nakushusha kituo Cha mbele mpumbavu wew.....unaleta dharau na masihara kwnye kazi za watu"""

Daaah basi nikiwa nimeshika bomba pale afu peke yangu gari zima wamekaa wananiangalia mim....akili ikaanza kuniambiaa "mpe ngumi janja""....""mchape moja ya maana amekufedhehesha sana"""

Jamaa alikua kama hatua nne mbele yangu, basi nikajisogeza taratibu ili nianze kuongea nae vizur kwamba kwa nn ameshindwa kunielewa na hata kama kashindwa kwa nin anitolee kauli chafu kiasi kile....
Nilijua tu lazma angejibu shombo na hapo ndo nikapanga kutimiza kile nilichokiskia kichwani kwangu kumrushia mangumi na mateke yasio na idadi.......
Basi nikamfikia nakumuuliza kistaarabu kabisa...
""Oya kaka Sasa hata kama Sina nauli kwa nin ufikie hatua ya kunitolea matusi kiasi hiki mwanangu!??""

Konda akaingia kwnye 18 zangu....."""acha umaku ww Yani nauli hujanipa afu unanipangia Cha kuongea,""""

Ndugu zangu,,,,nilirusha ile ngumi mpaka nikaskia kabisa joint ya bega imelia taaaaaaaaaaaaaahhhh,,,,,,gari zima likawaka kwa makelele na wengine wakisimama kuja kuamulia.....na hapo Sasa ndo nikawa nimejaa upepo kiukweli ukweli Sasa.......huku ubongo ukizidi kuongea na nafsi....""" Muongeze bhana unasubiri nin......ile nataka kumfata nimpe zingine gari ikasimama kwa ghafla basi sikushika popote ikasababisha nianguke...bila kudaka siti zile za pembeni ningetangulia kisogo.....!!!
Dereva akaja nae spidi lakin akaongea kistaarabu kwamba nishuke tu kwny gari,,,,abiria wakachachamaa kwamba konda kayataka yote hayo......Dada mmoja akaamua kutoa elfu tano yake kumpa yule dereva kama nauli yangu na hakuhitaji hata chenji......!!!! Basi baada ya mabishano ya dk kama nne hivi ikabidi dereva akubali...gari ikawashwa huku konda akiwa amekua mmpole kama pilitoni na safari ikaisha vizuri kabisa.......!!!

Nimekumbuka hili baada ya yule Dada alienilipia nauli kunitafuta mda huu kwnye simu tumepiga stori mbili tatu akanikumbusha kizaa zaa hicho huku akiwa anacheka kinoma.....
Ulipewa namba ya simu!? Dada huyo!
 
Pole, huyo dada alishelewa kufanya maamuzi but anyways bongo kuko hivyo
 
Mim ilitokea mwaka 2015 mapema asbh, surual nliovaa janaake ilikuwa na walet nkasahau kuihamisha asbh nlipoibadilisha, fasta nkaiingia road nkamata mchuma mapemaa asbh gar ya kwanza au ya pili town moja nyomi had kweny bomba mlangoni, sina habari najiamin mara kono la chenchi likalizwa mbele angu nkajichek mfukon roho ikapasuka paaa sina kitu, jib la haraka nkamwambia tulia, nkatembeza jicho fasta sit ya kwanza had ya mwisho labda ntamuona ninaemfaham ili anipge tafu ikawa amna, watu wakapungua vituo kadhaa mbele konda akaja, nkajifanya busy na cm naeka mipango flan sawa, lengo langu watu wapungue ili tubak wachache kama ni fedheha iwe ndogo akiliamsha, tulipofika mwisho wa gar nkashuka wa mwisho nikamnyooeshea nimesahau walet, akatukana yale ya kina mama na nin mi nikajikausha kama sio mim vile, nkamkariri konda na plate ya gar bila ye kujua, jion ngoma kum na moja ikabid nile tiz mbili tatu pale stendi yao niitafute ile gar, nkaipata nkamplipa konda japo alinisahau.. hakuamin kias alijiskia fedheha

Miaka 4 baadae mji mwingine konda mwingine nashuka i kituo flan nkaiona 10 mlangon huenda konda kadondosha bila kujua, nkaokota nikaamsha zangu, atapambana kweny chench na abiria wake mbele ya safar..
 
Imenitokea week iliopita.

Nimetoka getting nikaenea stand kupanda daladala niende sehemu flani hivi.

Sasa gari imeondoka tuko katikati ya safari nastuka kuwa nimeacha wallet nyumbani, kwa hiyo nauli sina......

Konda alipofika kwangu nikaona Sina hata namna ya kumuelewesha kwamba Sina nauli, ikabidi niseme tu nimekaa vibaya ntakupa mbele....lakini kiuhalisia nimekaa vizuri tu comfortable.!

Konda akanichangamkia ""umekaa vibaya kivipi wakati ma***ko yote yapo kweny siti na umefungua dirisha unapata kiyoyozi, we broo vipi hebu nipe nauli bhana""

Gari zima wakageuka kuangalia Nani anaeambiwa hivo,,,,nilijiskia Soo kishenzi, lkn nikaona nisipaniki wala nin......nikajiinua kidogo ili nimwambie kwa sauti ya chini sikioni ""kaka bahati mbaya nimesahau nauli nifadhiri ndugu yangu""

Konda akawaka kwa sauti kubwa tofauti na nilioianzisha Mimi...
""""Afu nyie ndo wachawi mnaodharau kazi za watu, Kwanza mi siwezi kuwa na ndugu mshamba kama wew ambae anakumbuka kuvaa vizuri, ananyoa vizuri afu hana hata Mia mfukoni,,,,nyie ndo matapeli hapa mjini""""

Daaah basi gari zima wananiangalia mim....nilijiskia aibu sana...basi yule konda alinipa shombo nyingi sana......!!!!!

Mara ghafla """ Kwanza hebu simama hapo ushike bomba wenye nauli wakae..""" nikawa najivuta kidogo """we m""nge nimesema simama wenye nauli wakae....hii sio gari ya kuhudumia maskini na matapeli""

Wazeee hasira zilizonipanda baada ya kauli hiyo ni Mungu pekee ndo anaejua maana nilijikuta ghafla mwili unaanza kutetemeka na vidole vinaanza kujikunja taratibu kutengeneza umbo la ngumi.

Nikashika bomba huku gari ikiendelea na konda akianza kunitolea shombo mpaka baadhi ya abiria wakaanza kumwambie
""basi konda inatosha msamehe kaka wa watu, bahati mbaya haina mwenyewe mbona unamsema safar nzima"""

Konda """hamna bhna hivi vijamaa ndo vichawi vya biashara yetu, Kwanza usikute humu kaingia kuja kuibia watu,,,Kwanza nakushusha kituo Cha mbele mpumbavu wew.....unaleta dharau na masihara kwnye kazi za watu"""

Daaah basi nikiwa nimeshika bomba pale afu peke yangu gari zima wamekaa wananiangalia mim....akili ikaanza kuniambiaa "mpe ngumi janja""....""mchape moja ya maana amekufedhehesha sana"""

Jamaa alikua kama hatua nne mbele yangu, basi nikajisogeza taratibu ili nianze kuongea nae vizur kwamba kwa nn ameshindwa kunielewa na hata kama kashindwa kwa nin anitolee kauli chafu kiasi kile....
Nilijua tu lazma angejibu shombo na hapo ndo nikapanga kutimiza kile nilichokiskia kichwani kwangu kumrushia mangumi na mateke yasio na idadi.......
Basi nikamfikia nakumuuliza kistaarabu kabisa...
""Oya kaka Sasa hata kama Sina nauli kwa nin ufikie hatua ya kunitolea matusi kiasi hiki mwanangu!??""

Konda akaingia kwnye 18 zangu....."""acha umaku ww Yani nauli hujanipa afu unanipangia Cha kuongea,""""

Ndugu zangu,,,,nilirusha ile ngumi mpaka nikaskia kabisa joint ya bega imelia taaaaaaaaaaaaaahhhh,,,,,,gari zima likawaka kwa makelele na wengine wakisimama kuja kuamulia.....na hapo Sasa ndo nikawa nimejaa upepo kiukweli ukweli Sasa.......huku ubongo ukizidi kuongea na nafsi....""" Muongeze bhana unasubiri nin......ile nataka kumfata nimpe zingine gari ikasimama kwa ghafla basi sikushika popote ikasababisha nianguke...bila kudaka siti zile za pembeni ningetangulia kisogo.....!!!
Dereva akaja nae spidi lakin akaongea kistaarabu kwamba nishuke tu kwny gari,,,,abiria wakachachamaa kwamba konda kayataka yote hayo......Dada mmoja akaamua kutoa elfu tano yake kumpa yule dereva kama nauli yangu na hakuhitaji hata chenji......!!!! Basi baada ya mabishano ya dk kama nne hivi ikabidi dereva akubali...gari ikawashwa huku konda akiwa amekua mmpole kama pilitoni na safari ikaisha vizuri kabisa.......!!!

Nimekumbuka hili baada ya yule Dada alienilipia nauli kunitafuta mda huu kwnye simu tumepiga stori mbili tatu akanikumbusha kizaa zaa hicho huku akiwa anacheka kinoma.....
Mle huyo dada kasha jaa
 
Mimi wakati nikiwa sekondari nilikua nakula nauli.

Konda akinidai namwambia ntampa nikishuka.

Sasa nikishuka naanza kuingiza mkono kwenye mfuko mmoja baada ya mwingine.

Mara mfuko wa shati, najifanya kama sikumbuki nimeweka mfuko gani.

Narudia tena kuji search mfuko mmoja baad ya mwingine.

Hapo gari ishaanza kuondoka taratibu konda ananisubiri huku akiniharakisha.

Baada ya kuona nimejikita kwenye ku search mfuko baada ya mfuko anakimbilia gari anaondoka, huku akiacha matusi kadhaa nyuma
Jamani😀😀😀
 
Kama huyo dada alokusaidia nauli hujamla mpaka sasa unahitaji kupigwa ngumi nzito kuliko ulizompa konda
 
Ya kwangu...ipo tofauti kidogo....Mungu anisamehe bure, niliwah kupanda dalala nikampa kondakta Tsh 1000 na kila abiria aliiyona kwa sababu tulikuwa wachache, cha ajabu kondakta akanirudishia 9600, kana kwamba nimempa 10K hakuna alie amini kilichotokea, nilijikausha macho makavu kana kwamba ile ni chenj yangu halal [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...mziki nikawa nawaza sijafika kituo ninachoshuka endapo akagundua enizidishia hela na mm nilikausha what next? ....Hakuna siku niliomba maombi makali kwa muda mfupi....nilijuta nilichokifanya. Coz kurudisha siwez lakini mpaka nashuka konda hakustuka. Nilijifunza kitu kikubwa sana kitu kisicho halali yako...huwez kukifurahia..ni jasho la mtu. Ila abiria wenzangu sijui waliwaza nn juu yangu.
 
Makondakta ni watata kwenye kudai chao. Ole uwe na nauli pungufu na haukusema utaoga matusi.
 
Hii ilinitokea mwaka fulani. Ilikuwa hivi tumetoka nyumbani Mimi na Sister Yangu mama akatupatia nauri kila mmoja ya kwake. Sasa kumbe sister alisahau kuchukua nauri yake . ile tumapanda kwenye daladala ndio anakumbuka kasahau nauri yake na gari tayari ishaondoka , nikaona isiwe shida nauri yangu nikampatatia yeye konda alipo anza kudai nauri nikamwambia nitakupa baadae ,ile tumefika natta nikashuka konda najaribu kumwambia sina nauri anilewi . nashukuru jamaa. Mmoja alijitokeza kunilipia nauri
 
Imenitokea week iliopita.

Nimetoka getting nikaenea stand kupanda daladala niende sehemu flani hivi.

Sasa gari imeondoka tuko katikati ya safari nastuka kuwa nimeacha wallet nyumbani, kwa hiyo nauli sina......

Konda alipofika kwangu nikaona Sina hata namna ya kumuelewesha kwamba Sina nauli, ikabidi niseme tu nimekaa vibaya ntakupa mbele....lakini kiuhalisia nimekaa vizuri tu comfortable.!

Konda akanichangamkia ""umekaa vibaya kivipi wakati ma***ko yote yapo kweny siti na umefungua dirisha unapata kiyoyozi, we broo vipi hebu nipe nauli bhana""

Gari zima wakageuka kuangalia Nani anaeambiwa hivo,,,,nilijiskia Soo kishenzi, lkn nikaona nisipaniki wala nin......nikajiinua kidogo ili nimwambie kwa sauti ya chini sikioni ""kaka bahati mbaya nimesahau nauli nifadhiri ndugu yangu""

Konda akawaka kwa sauti kubwa tofauti na nilioianzisha Mimi...
""""Afu nyie ndo wachawi mnaodharau kazi za watu, Kwanza mi siwezi kuwa na ndugu mshamba kama wew ambae anakumbuka kuvaa vizuri, ananyoa vizuri afu hana hata Mia mfukoni,,,,nyie ndo matapeli hapa mjini""""

Daaah basi gari zima wananiangalia mim....nilijiskia aibu sana...basi yule konda alinipa shombo nyingi sana......!!!!!

Mara ghafla """ Kwanza hebu simama hapo ushike bomba wenye nauli wakae..""" nikawa najivuta kidogo """we m""nge nimesema simama wenye nauli wakae....hii sio gari ya kuhudumia maskini na matapeli""

Wazeee hasira zilizonipanda baada ya kauli hiyo ni Mungu pekee ndo anaejua maana nilijikuta ghafla mwili unaanza kutetemeka na vidole vinaanza kujikunja taratibu kutengeneza umbo la ngumi.

Nikashika bomba huku gari ikiendelea na konda akianza kunitolea shombo mpaka baadhi ya abiria wakaanza kumwambie
""basi konda inatosha msamehe kaka wa watu, bahati mbaya haina mwenyewe mbona unamsema safar nzima"""

Konda """hamna bhna hivi vijamaa ndo vichawi vya biashara yetu, Kwanza usikute humu kaingia kuja kuibia watu,,,Kwanza nakushusha kituo Cha mbele mpumbavu wew.....unaleta dharau na masihara kwnye kazi za watu"""

Daaah basi nikiwa nimeshika bomba pale afu peke yangu gari zima wamekaa wananiangalia mim....akili ikaanza kuniambiaa "mpe ngumi janja""....""mchape moja ya maana amekufedhehesha sana"""

Jamaa alikua kama hatua nne mbele yangu, basi nikajisogeza taratibu ili nianze kuongea nae vizur kwamba kwa nn ameshindwa kunielewa na hata kama kashindwa kwa nin anitolee kauli chafu kiasi kile....
Nilijua tu lazma angejibu shombo na hapo ndo nikapanga kutimiza kile nilichokiskia kichwani kwangu kumrushia mangumi na mateke yasio na idadi.......
Basi nikamfikia nakumuuliza kistaarabu kabisa...
""Oya kaka Sasa hata kama Sina nauli kwa nin ufikie hatua ya kunitolea matusi kiasi hiki mwanangu!??""

Konda akaingia kwnye 18 zangu....."""acha umaku ww Yani nauli hujanipa afu unanipangia Cha kuongea,""""

Ndugu zangu,,,,nilirusha ile ngumi mpaka nikaskia kabisa joint ya bega imelia taaaaaaaaaaaaaahhhh,,,,,,gari zima likawaka kwa makelele na wengine wakisimama kuja kuamulia.....na hapo Sasa ndo nikawa nimejaa upepo kiukweli ukweli Sasa.......huku ubongo ukizidi kuongea na nafsi....""" Muongeze bhana unasubiri nin......ile nataka kumfata nimpe zingine gari ikasimama kwa ghafla basi sikushika popote ikasababisha nianguke...bila kudaka siti zile za pembeni ningetangulia kisogo.....!!!
Dereva akaja nae spidi lakin akaongea kistaarabu kwamba nishuke tu kwny gari,,,,abiria wakachachamaa kwamba konda kayataka yote hayo......Dada mmoja akaamua kutoa elfu tano yake kumpa yule dereva kama nauli yangu na hakuhitaji hata chenji......!!!! Basi baada ya mabishano ya dk kama nne hivi ikabidi dereva akubali...gari ikawashwa huku konda akiwa amekua mmpole kama pilitoni na safari ikaisha vizuri kabisa.......!!!

Nimekumbuka hili baada ya yule Dada alienilipia nauli kunitafuta mda huu kwnye simu tumepiga stori mbili tatu akanikumbusha kizaa zaa hicho huku akiwa anacheka kinoma.....
Daaa nimeipenda lakini pole kwa msoto ulio pitia
 
Dalili za kupita nae kimasihara hizo.
 
Back
Top Bottom