Recent content by Ramosi255

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mateo Guendouzi

    Nadhani ni mapema sana kwa match mbili kujudge uwezo wa huyu mtu ila muda zaidi unahitajika kusema jambo kama hzi sifa ni stahiki au la. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    JamiiForums Tanzania Man U vs Brigthton Post analyasis.

    Nini kimewakuta Man. Hakuna asieona kama weekend Man u walikutana na Beki bora iliowasumbua sana mashetani hao wekundu kwenye uwanja wa Amex stadium. Kuna mambo kadhaa yakuojili leo lakini lazima tuseme haya ya wazi kabisaa. UWEZO WA KUZUIA WALIONAO BRIGTHON. (DEFENCE ABILITY) Hawa jamaa leo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Man United Vs Brigthton

    Nini kimewakuta Man U weekend hii?? Hakuna asieona kama leo Man u walikutana na Beki bora iliowasumbua sana mashetani hao wekundu kwenye uwanja wa Amex stadium. Kuna mambo kadhaa yakuojili leo lakini lazima tuseme haya ya wazi kabisaa. UWEZO WA KUZUIA WALIONAO BRIGTHON. (DEFENCE ABILITY) Hawa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Carvajal anaumea na kama lucas atacheza hiyo number maana yake casamiro atakuwa back msaidoz full time kama game iliopita. Zidane sina mashaka na mfumo japo kunawakat selection inakuwa ngumu kwake. Last game approach aliplan kucheza tofauti na alivyocheza na juve. Juve aliweka viungo wanne...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    CR7 hata kuwepo ila uweoo wa Asensio mimi na iman kubwa sana tunaibuka na goli si chini ya tatu japo hawa waka catalunya wanataka oia kudemostrate kuhusu wafubgwa wao wataifanya hii match kama display na watataka washinde. Tutashinda na hakika kikosi kiko sawa na bale na asensio wana uwezo wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Zizzu alisema uchovu na moral kwemda chini baada ya mafanikio makubwa ndio haswa challenge. Ila team ipo ndio maan Jan aligoma kudajili
  7. R

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Leo betis wako sawa sana yaan wako so quick on transution na pass zao ziko nakini. Not bad real angalau come back inatupa magoli. Kikubwa tuongeze hata moja au mbili hapo
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini washabiki wa madrid wanajiamini sana kwenye UEFA?

    Uzoefu na hari ukiacha ufundi wa mchezaji na mchezaji
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya wafanyakazi wa benk

    Naomba kuuliza wadau wa sheria. Niriajiriwa bank na baada ya miezi sita nikapewa mkopo wa 10m na nikawa nalipa nikiwa mfanyakazi hapo bank. Nikapata fursa ya kuitwa na mwajiri wangu wa zamani kwa maana bank ajira ilikuwa kwenda polisi any time na dau la mara hii likawa zuri nikaenda. Bank...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yanunue salio kutoka sehemu moja kwenda nyingine

    Kunakuja soon jiandae kaka tuko jikoni tunafanya hayo mapushi
Back
Top Bottom