Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

58109efe5cb9bef8bb579fe4f8d7f5c9.jpg


Hizi habari za injury kwa Marcelo, Luca na Toni hazibariki hata kidogo.
2nd leg kule Paris ilibidi tuwe na full squad
 
Zizzu alisema uchovu na moral kwemda chini baada ya mafanikio makubwa ndio haswa challenge. Ila team ipo ndio maan Jan aligoma kudajili
 
Ceballos coming ON in the last few seconds is really sad. He didn't even touch the ball!
Hii kitu hata mwenyew ilinihuzunisha sana, nikitamani asingeingia kabisa, sababu refa alikuwa ameongeza dk 2 tu za majeruhi, ninadhan Zidane itabid akae chin na huyu kijana ili amwelewe aisee, Zidane na yeye alikuwa kama akina José Morinho
 
Brilliant performance by Kovacic and Benzema.

Someone really needs to tell Isco that he's an amazing player but he has to play for the team. Very poor performance.
Kovacic ameshaanza kurudi, ninaona ameanza kujiamin tena, hii ni ishara nzuri sana kwake, kilichobaki ni yeye kufanyia kazi ishu yake ya kukaa na mpira sana wakati tunashambulia , Ile team B ya msimu uliopita ninaiona inarudi kidogo kidogo..
 
58109efe5cb9bef8bb579fe4f8d7f5c9.jpg


Hizi habari za injury kwa Marcelo, Luca na Toni hazibariki hata kidogo.
2nd leg kule Paris ilibidi tuwe na full squad
Hao siku hiyo watacheza hata kwa kupigwa ganzi, ila bado muda upo, Marcelo na Kroos wanaweza kuwepo, Modric ndio ninaiona kama anaweza akaanzia bench...
 
Benzema anakatisha move sana ya counter attack...hapa leo tupo tisa uwanjani....Nacho na benzema ni mizigo humu
 
Yaani our linkup play has improved a lot in recent games. Na huyu dogo Vazquez hauzwi akae hapa hapa, sometimes anakuwaga mtamu wala hana mawenge.
 
That bicycle kick goal would have been some comeback for Bale.
 
Back
Top Bottom