Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ndio kwanza 40 minutes Tall, ngoja Kova aende bench game itabadilika.
Mkuu huyu chalii hana kiwango chakucheza madrid...haki vile...sasa hebu angalia umbali kutoka katika mstari wa goli uelekeo wa mpira na hadi ukamgonga...yaan unaona kabisa huyu mtu ni mzito katika kufanya maamuzi...ule mpira asingeugusa wala usingeingia golini....
 
Asensio’s goal became 6000th for Real Madrid in La Liga

DWWNpcpXkAAiP00.jpg
 
Tumefunga magoli 19 kwenye mechi 4 za mwisho za La Liga. But we tend to lose concentration in defense especially with these considered small teams. Zidane anatakiwa aangalie hili swala kwa makini sasa.
 
Overall game ulikuwa ilikuwa poa kimtindo, tumepata ushindi japokuwa ni kwa tabu kidogo, Betis walijiamini sana, na ukizingatia game ya kwanza walitufunga kwetu plus trend ya team kwa ujumla iliwapa hamasa kubwa kuwa wanaweza kutufunga , na hilo liluwasaidia sana, licha ya kuwafunga mapema waliendelea kujituma bila kuchoka, hicho tu ndio kilifanya game kuwa ngumu..,
Ila walisahau kuwa vijana wamerudi katika viwango vyao japokuwa sio wote na sio kwa 100%, ila ninaona vijana wanarudi mdogo mdogo, amebaki Benz, Casemiro na Kova., nninadhan waliokuwa wanadhani kuwa watapata mteremko watakuwa wanajitafakari kwasasa!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
 
Tumefunga magoli 19 kwenye mechi 4 za mwisho za La Liga. But we tend to lose concentration in defense especially with these considered small teams. Zidane anatakiwa aangalie hili swala kwa makini sasa.
Team inakatka sana wakati tunashambuliwa , Casemiro alikuwa anaipa beki yetu ulinzi wa kutosha, ila kwasasa kidogo amechoka, ninadhan ametumika sana, Zidane itabid aangalie jinsi ya kupanga ukuta wake
 
Ndio kwanza 40 minutes Tall, ngoja Kova aende bench game itabadilika.
Tumerudi kwenye ile himaya yetu ya kubadili matokeo dakika za mwisho., game nyingi tulizingua sababu ule muda wa kuwachanganya wapinzani na goli za 80s min ulipotea., ila kwasasa vijana wanarudi!!
Kova bado sana kiukwel, huyu tumvumilie tu mpaka msimu ujao, alishindwa kukaa na mpira kabisa, ukijumlisha partner wake Casemiro huwa sio wa kukaa na mpira, basi mambo yalimwia magum kweli., yaani alilemewa kweli kweli!!
 
Back
Top Bottom