Recent content by Ramos

  1. R

    JamiiForums Tanzania Connects dots hapa

    Mkuu kwani si katiba ya Tanzania inasema mgombea uraisi anashinda kwa kupata kura nyingi kuliko wengine? (Refer marekebisho ya katiba aliyofanya Mkapa 1996 kama sijakosea...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa wa ACT - Wazalendo Musoma Mjini (Tarehe 20 Aprili, 2015)

    Hata mimi Zitto akija huku niliko nitaenda kwenye mkutano wake... Ila kura yangu.. atasubiri sana...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye! CCM yafikiia tamati ya utawala wake

    UKAWA... Tupo TAYARI CCM... WAMESHAFELI
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kikwete na CCM kuwahadaa wafugaji: Ni Aibu, ni Fedheha, na si Haki....

    Kwani isingekuwa ni wizi na ufisadi wa CCM wewe ungefika hapo ulipo?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kikwete na CCM kuwahadaa wafugaji: Ni Aibu, ni Fedheha, na si Haki....

    Sidhani kama CCM itapata tena kura hata moja kutoka kwa wafugaji mwaka 2015.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?

    Inasemekana alikuwa kiongozi, na aligombea ubunge 2005 huko Arusha. Hakushinda, na binafsi sikuwahi kumsikia kabla hajajiunga CHADEMA... Leo Lema anaitwa "mbunge machachari" huku "akiunguruma" katika siasa za upinzani na misemo mingi anayonukuu watu maarufu... Najiuliza tu... Kwa nini Lema...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Kuna maswali nilikuwa najiuliza sana tangu Mwigamba "aliponaswa" but nikawa sipati majibu. Mnajua bana, coincidences are not so easy to coincide. Kuna sarakasi zimepigwa hapo CHADEMA, moja ya Mwigamba, na nyingine ya Lema vs Zitto... Hebu tufanye postmortem kidogo ya tukio la Mwigamba...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema, Shujaa Mahiri Anayekiuka Kanuni za Chama

    Kuna maswali nilikuwa najiuliza sana tangu Mwigamba "aliponaswa" but nikawa sipati majibu. Mnajua bana, coincidences are not so easy to coincide. Kuna sarakasi zimepigwa hapo CHADEMA, moja ya Mwigamba, na nyingine ya Lema vs Zitto... Hebu tufanye postmortem kidogo ya tukio la Mwigamba...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lema hajatulia, afungwe gavana, rahisi kusababisha mitafaruku

    Kuna maswali nilikuwa najiuliza sana tangu Mwigamba "aliponaswa" but nikawa sipati majibu. Mnajua bana, coincidences are not so easy to coincide. Kuna sarakasi zimepigwa hapo CHADEMA, moja ya Mwigamba, na nyingine ya Lema vs Zitto... Hebu tufanye postmortem kidogo ya tukio la Mwigamba, then...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda na ushauri kwa wenye tatizo la kupata mtoto...

    Miaka kadhaa iliyopita nilileta posts nikiomba ushauri jinsi ya kukabiliana na hali ya kutokuwa na mtoto katika ndoa yangu kwa miaka kadhaa. Niliwashukuru, na naendelea kuwashukuru walionipa matumaini. Namshukuru Mungu kwani hatimaye, mapema mwaka huu mimi na mke wangu tulijaaliwa mtoto... Kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nilivyofunga "bao la mkono"...

    Kiukweli mimi sio mtu wa kuonyesha haya 'makea artificial' kwa mke wangu, nikizingatia kuwa akiyazoe ntakuwa 'sina jipya' alafu atanchoka. Sasa siku moja tulitinga harusini na my beloved wife, na kwa kuwa siku hiyo tuliunganisha functions, tulifika tukiwa tumechelewa kidogo. Ile kuingia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ni nani huyu: Jumanne Miraji Simba

    Wakuu, kama kuna mtu yeyote independent mwenye interest ya kuchunguza suala la Kibanda na la video ya Rwakatare, amchunguze huyu mtu... Kwaherini
  13. R

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    Father Mkenda namfahan, he is a such a kind person. Sina uhakika hatua zipi, but kwa sasa nadhan wakristo hawana budi kuchukua hatua dhidi ya vitendo vya kuhujumiwa Zanzibar.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

    Mtammezea mate lakini hamumpati... Zitto ni CDM damu
  15. R

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mkutano wa CCM Mbeya

    kwa sababu yeye ni sugu...
Back
Top Bottom