PICHA: Mkutano wa CCM Mbeya

PICHA: Mkutano wa CCM Mbeya

sasa kuna haja gani ya kumzuia Sugu na kumtaka ahutubie karibu na mkutano wa chama kingine wkt ktk taratibu za mikutano ya vyama vya siasa hairuhusiwi??
 
Yakhe yameshakuwa hayo tena? Tukuuwe kisa chake ni haswa? Mimi nimekurabisha kwenye mahaba ule raha utakaa kwa shemeji mpaka lini? Bikini ya x mass umepata?

Chama
Gongo la mboto DSM
Ritz shoga yako ameshapata, vipi wewe second citizen salama lakini!!
 
SUGU 4 MBEYA. hivi kwenye huo mkutano wa ccm mgeni rasimi alikuwa mzee wa visiwa vya zimbabwe mr mulugo?

Mgeni rasmi alikuwa Godfrey dhambi! Mulugo alizomewa sana! Mods changanyeni hii thread kwenye ile ya kwanza
 
Ritz shoga yako ameshapata, vipi wewe second citizen salama lakini!!

second citizen nashukuru Mungu nakula raha sina wasiwasi wa maisha vipi wewe first class citizen? Matola waogopa waungwana Ritz na chama; wakimbilia watu na kuulainisha moyo wako kisa wamevaa majoho na misalaba mbona wajitia kwenye hatari mtoto wa kiume wewe wajua historia ya hayo majoho ? hawana wake hao; chama na Ritz tumeoa; chunga sana babu naye si alikuwa anavaa majoho? Hao ni binaadam wanaviungo kamili shauri yako!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Naona huyo mkuu wa wilaya Sagalla ataiweza mbeya...jamaa anajua ku balance mambo...angekuwa Mzee Balama ile kuzongwa tu kidogo angeita wale jamaa wa vitu vyenye ncha kali wakajeruhi au kuua raia
 
Wote tumeziona picha na bado zipo hapa, sijaona sehemu Sugu aliporusha au alipotaka kurusha ngumi.
DSC00705.JPG
 
Back
Top Bottom