Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

Status
Not open for further replies.
Father Mkenda namfahan, he is a such a kind person. Sina uhakika hatua zipi, but kwa sasa nadhan wakristo hawana budi kuchukua hatua dhidi ya vitendo vya kuhujumiwa Zanzibar.
 
This is a sad news kama alivyomwagiwa Tindikali Sheikh Soraga inabidi Serikali ikomeshe vitendo hivi vya uhalifu. Tunamuombea apone haraka padre ili aje kutuambia kinachojiri
 
Ni habari mbaya sana na zinatufikisha mahali pabaya mno.
Pole sana Padre na Mwenyezi Mungu akuponye haraka uendelee kuchunga kondoo wake.

Ila Kama serikali nayo itaendelea kukaa kimya basi ni hatari sana!
 
Labda kama ni maandishi mybe i wasnt paying attention.ila kwasasa sioni maandishi na tamthilia a woman of steel ndo iko hewani.
Na ninajua kama ni maandishi hawaweki jina la repota.sasa mtu anajuaje kuwa ni farid ndo karipoti.?
Hiyo ya jina imepatikana Radio one aliko sikika akitoa taarifa toka Zanzibar.
 
Labda hayo ni majibu ya hao jamaa kufuatia tamko la maaskofu leo. Muda sio mrefu chini ya utawala huu dhaifu wa CCM tutaanza kusikia vikundi vya kihalifu vikiuwa halafu kujitangaza rasmi kuhusika na mauaji hayo sawa sawa na ilivyo Pakistan, Afghanistan, Palestine na kwingineko. Yetu macho.
 
Pole sana Padre. Hii hali ni hatari sana. Kuna mambo mengi yako nyuma ya tukio hili. Lakin my worry ni kwamba tusipodhibiti hali hii, Boko Haram ipo Tanzania na inatujia mimi na wewe Mtanzania akiwemo Rais.
 
Dah! Aisee nimeiona hii habari kupitia I.T.V wakati tamthilia inaendelea wakawa wanapitisha mkanda wa maandishi...Mungu amsaidie dah! Sijui tunaenda wapi jamani sasa
 
Ngoja tusubiri taarifa zaidi tusikimbilie kwenye judgement moja kwa moja,hawa waseja wana matatizo ya kutembea na wake za watu kwa kificho,inaweza pia kuwa sababu si lazima kila tukio kulihusisha na chuki za kidini ama kisiasa,nadhani bado tuna kumbukumbu ya kilichomtokea kamanda wa mateo pale mwanza ambako uamsho hawako

mkuu unatia aibu kwa maelezo yako
 
Status
Not open for further replies.
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom