Recent content by Ramos Gerald

  1. Ramos Gerald

    Video: Tanzania Royal Tour

    Mama samia mitano tena
  2. Ramos Gerald

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Wew ni mmoja wapo nadhani...
  3. Ramos Gerald

    Nafasi za kazi (Mauzo)

  4. Ramos Gerald

    Ipo siku mtaukumbuka huu uzi

    Huu uzi ni wakushonea viazi vitokavyo Mbeya vifikapo mjini basi kila mmoja husau kufingashio na kukidhamini kilichopo ndani.... Mawazo yake ayana tofauti na dada yako Mange
  5. Ramos Gerald

    John J. Mnyika - 2025 And Beyond

    Itakuaje tukimuona Babaeni Lissu ikiwa na matamanio ya madaraka 2025. Mnyika atatumbia nn? Au ndo atatengeneze chama chake... Mnaitaji muda kujinadi tena katika masoko makubwa ya siasa Kama haya.. mnavoongoa na kutembea kwenu mnaonekana ni wana wa Yuda....😂😂😂
  6. Ramos Gerald

    Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Ulafi wa madaraka, autumuacha mtu salama.... Atuitaji ukarasa mpya tunachoutaji ni kazi na wala si Lissu kuanzisha kurasa mpya, kwani kila mmoja ataanzisha kurasa zake upya juu ya kupambana na ujinga na upumbuvu uliwajaa wenye matamanio ya kupiga madili.
  7. Ramos Gerald

    Sitasahau siku nilionadiwa mwizi na mama yake mchepuko wangu

    Duuuh na kila Mwenye pumzi amsifu Bwana.
  8. Ramos Gerald

    Mwizi wangu namjua, nipeni mbinu za kumkamata

    Wew ni mfano wa ng’ombe wa kijiji kila mmoja ata kukamua ukikatisha juu ya macho yao. Brother kunivitu vingi vya kufanya kabra aujumuamini mpita njia tena uliekutana nae kwenye kiza kinene, mkisindikizwa na pombe za kutoka ughaibuni kwa jina la vijana wa tips wanaita (import)... Pole na karibu...
  9. Ramos Gerald

    Naomba kujua mafuta mazuri ya kurudisha ngozi

    Wew mtoto Wakiume, Urudishe Ngozi imepotea? Wew umesikia wapi?? Sikia tafuta hela utaniambia.... Maisha yenyew yanakupendezesha...
  10. Ramos Gerald

    Msaada: Nifanyeje ili kumrudisha mpenzi aliyeniacha au avutiwe tena na mimi siku akiniona?

    Tafuta Hela, Mahusiano utayashinda bro... Watu wengi mnaachika kwakua amna hela... Utafiti wangu unaonyesha ukiwa unahela nyingi, Mwanamke at umuuzi vipi awezi kuondoka..
  11. Ramos Gerald

    Watanzania kuweni makini sana

    MKAZO: Wasanii: sioni sababu ya kuzunguka na chama, Kutumia gharama nyingi kuwalipa n.k Kama chama pinzani kingebeba wasanii maarufu naamini ma mia na mia ya watu wangejitokeza..
  12. Ramos Gerald

    GE2020 Tundu Lissu amepewa uhuru uliopitiliza

    JPM ni master mind. Utaniambia nn kitatokea baada ya kampeni kuisha...
  13. Ramos Gerald

    Jinsi nilivyopitia na kushinda wakati mgumu kimapenzi...

    Duuh So mchezo, Story imetufunza nn? (Muamini Mama yako tu!)
Back
Top Bottom