Watanzania kuweni makini sana

Malcom XX

JF-Expert Member
Sep 12, 2020
471
948
Uchaguzi siyo jambo la hamasa na ushabiki kama vile ambavyo wanasiasa wanajaribu kujenga hamasa na ushabiki ili kuwatoa watu katika hoja .

Uchaguzi ni jambo la kimaendeleo hivyo halipaswi kufanywa kishabiki na kwa hamasa kama linavyoanyika kwa sasa.

Nianze na CCM yangu kwanini mnabeba wasanii ktk mikutano ya kampeni?

Hii maana yake ni kwamba mnataka kutumia umaarufu na ngekewa za wasanii kuwalaghai wapiga kura , hili ni kosa bali jambo linapaswa kujengewa hoja, uchaguzi na kampeni siyo harusi kwamba yahitaji mziki na burudani bali ni shughuli ya maendeleo inayotakiwa kupewa uzito zaidi ya Tume ya makinikia.

CCM msifanye mzaha na uchaguzi , Jengeni hoja ambazo zitaibua fikra chanya kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.

Tanzania ni mali ya watanzania wote, ccm kuondoka madarakani siyo mwisho wa Tanzania, Changes is universal priniples, duniani kote mabadiliko yanatokea, Tangu kale tawala zilianguka na maisha yakaendelea vizuri.

Mfano, Russia ya zamani enzi za Tzar Nicholaus II, China chini king chiang Kai shek alianguka na china ikaendelea vzr sana.

CCM acheni kuwapotosha watu kuwa chadema ametumwa na mabeberu.

Mabeberu ni akina nani?

Siyo wale mlioingia nao biashara ya kununua ndege, siyo wale wanaokupeni mabilion kwa ajili ya maendeleo?
 
Kwa maendeleo ya ukanda wa chato sio tanzania.

Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania chini ya uongozi madhubuti wa Tundu Lissu.
Endelea kuota ndoto yako usijigeuze ila ukihisi haja ndogo amka uende toilet usijegeuka kikojozi.

JPM 2020- 2025
CCM 5 TENAAA
 
Hakuna ushauri zaidi ya jinsi gani ya kuepusha watz kuumizwa tena miaka 5
 
Uchaguzi siyo jambo la hamasa na ushabiki kama vile ambavyo wanasiasa wanajaribu kujenga hamasa na ushabiki ili kuwatoa watu katika hoja .

Uchaguzi ni jambo la kimaendeleo hivyo halipaswi kufanywa kishabiki na kwa hamasa kama linavyoanyika kwa sasa.

Nianze na CCM yangu kwanini mnabeba wasanii ktk mikutano ya kampeni?

Hii maana yake ni kwamba mnataka kutumia umaarufu na ngekewa za wasanii kuwalaghai wapiga kura , hili ni kosa bali jambo linapaswa kujengewa hoja, uchaguzi na kampeni siyo harusi kwamba yahitaji mziki na burudani bali ni shughuli ya maendeleo inayotakiwa kupewa uzito zaidi ya Tume ya makinikia.

CCM msifanye mzaha na uchaguzi , Jengeni hoja ambazo zitaibua fikra chanya kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.

Tanzania ni mali ya watanzania wote, ccm kuondoka madarakani siyo mwisho wa Tanzania, Changes is universal priniples, duniani kote mabadiliko yanatokea, Tangu kale tawala zilianguka na maisha yakaendelea vizuri.

Mfano, Russia ya zamani enzi za Tzar Nicholaus II, China chini king chiang Kai shek alianguka na china ikaendelea vzr sana.

CCM acheni kuwapotosha watu kuwa chadema ametumwa na mabeberu.

Mabeberu ni akina nani?

Siyo wale mlioingia nao biashara ya kununua ndege, siyo wale wanaokupeni mabilion kwa ajili ya maendeleo?

mdahalo mnautaka au hamtaki?
Foolish ccm wanadhani watanzania wa leo ndo wa jana
 
Katika maneno ya kipumbavu kuwahi kuibuliwa miaka ya sasa ni neno Mabeberu.

Hao wazungu wakiwapa misaada mnakuwa wa mbele mbele kuipokea kama Tai ila wakiwakosoa mnakuwa wakali kama mbogo, shenz type

MKAZO:
Wasanii: sioni sababu ya kuzunguka na chama, Kutumia gharama nyingi kuwalipa n.k

Kama chama pinzani kingebeba wasanii maarufu naamini ma mia na mia ya watu wangejitokeza..
 
Duh,tutaumia sana, kutekana, kufunguliana makesi ya ajabuajabu
Heshimu mamlaka na tii sheria utaishi kwa amani, hakuna nchi ambayo haina miiko ndugu U.S.A yenyewe ambayo mnasema ni Baba wa Demokrasia wana miiko yao angalieni Snowden alivyokimbia
 
Uchaguzi siyo jambo la hamasa na ushabiki kama vile ambavyo wanasiasa wanajaribu kujenga hamasa na ushabiki ili kuwatoa watu katika hoja .

Uchaguzi ni jambo la kimaendeleo hivyo halipaswi kufanywa kishabiki na kwa hamasa kama linavyoanyika kwa sasa.

Nianze na CCM yangu kwanini mnabeba wasanii ktk mikutano ya kampeni?

Hii maana yake ni kwamba mnataka kutumia umaarufu na ngekewa za wasanii kuwalaghai wapiga kura , hili ni kosa bali jambo linapaswa kujengewa hoja, uchaguzi na kampeni siyo harusi kwamba yahitaji mziki na burudani bali ni shughuli ya maendeleo inayotakiwa kupewa uzito zaidi ya Tume ya makinikia.

CCM msifanye mzaha na uchaguzi , Jengeni hoja ambazo zitaibua fikra chanya kwa ajili ya maendeleo ya Taifa.

Tanzania ni mali ya watanzania wote, ccm kuondoka madarakani siyo mwisho wa Tanzania, Changes is universal priniples, duniani kote mabadiliko yanatokea, Tangu kale tawala zilianguka na maisha yakaendelea vizuri.

Mfano, Russia ya zamani enzi za Tzar Nicholaus II, China chini king chiang Kai shek alianguka na china ikaendelea vzr sana.

CCM acheni kuwapotosha watu kuwa chadema ametumwa na mabeberu.

Mabeberu ni akina nani?

Siyo wale mlioingia nao biashara ya kununua ndege, siyo wale wanaokupeni mabilion kwa ajili ya maendeleo?

mdahalo mnautaka au hamtaki?
Msemaji mkuu wa CCM, jamvini Pascal mayalla hebu njoo umwage wino huku
 
Back
Top Bottom