Recent content by Ramadhani Mchinjita

  1. R

    JamiiForums Tanzania Waalimu mnakera sana!

    Mtoa post umekosea tena sana kwa walimu" ungejaribu kuwasema waajiriwa wengine mf ,,,,,,,,,,,,,,,,,, ungepata wengi wa Ku share na ku like"
  2. R

    JamiiForums Tanzania Adui wa Saddam Hussein ajutia alichokifanya

    Hongera kwa kujitotekeza hadharani na kusema hayo ila pole kwa kuondokewa na ndugu zako 15, ila mpo wengi mliofurahia vifo vya Saddam na hata Gaddaf lakini sasa cha moto mnakiona na nakuombeeni kwa mungu muwe na maisha marefu!!!!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Leo saa 09:43 mchana wa tarehe 8/6/17 bandarini Dar es salaam kuna meli 13

    Umeambiwa Dar es salaam kuna meli 13, mwengine anasema Mombasa ahahaaaaa sasa chanzo kimezungumzia Dar na sio Mombasa!!!!!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Pointi 3 za Fifa ziwapi?

    Fifa wameshauri pointi Tatu ziende kwa Simba ila zitumike kwa msimu ujao wa ligi 2017/2018 ,
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sitarudia kuitetea tena CCM. Nimechoka

    Mwanachama maslahi wewe,!!!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Km ni mapenzi mazito angeonyesha kwa mke wake na familia yake "Aibu tyuu!!!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

    Usione vigumu kusema "MUACHE AENDE ZAKE"
Back
Top Bottom