eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Najua ligi imeisha ila pointi zetu vipi? Tupeni jibu kwani watani zetu wanazidi kutubeza.Hans Pop ulisema unazifata,je imekuaje? Tupeni jibu ili na si tuongee.
Mbona majibu yalishatoka muda mrefu sana na barua kutoka Fifa iliwekwa wazi humu jf. Ni kwamba FIFA walijibu kuwa maamuzi yaliyofanywa na bodi ya TFF yabaki kama ilivyo.Najua ligi imeisha ila pointi zetu vipi? Tupeni jibu kwani watani zetu wanazidi kutubeza.Hans Pop ulisema unazifata,je imekuaje? Tupeni jibu ili na si tuongee.
Kwa sasa Hanspope anashughulikia suala la Mbaraka Yusuph kule FIFA hayo ya pointi tatu imeshakuwa historia na michango inahitajika ili kupata nauli ya kwenda na kurudi ZurichNajua ligi imeisha ila pointi zetu vipi? Tupeni jibu kwani watani zetu wanazidi kutubeza.Hans Pop ulisema unazifata,je imekuaje? Tupeni jibu ili na si tuongee.